johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,524
- 142,799
Aliyekuwa Waziri wa Viwanda, Rita Mlaki amesema family yake na family ya Edward ni Marafiki tangu wao wakiwa Wadogo hivyo wamecheza na kukua pamoja
Rita amesema wameendelea Kuwa pamoja Serikalini na Kanisani Azania Front na Dodoma Cathedral
Amesema katika Utumishi wa Umma Lowasa alimuhimiza mambo matatu muhimu Mosi awe Mvumilivu, pili asiwe anaropokaropoka hadharani Kwani Neno likishatoka Mdomoni huwezi kulirudisha na Tatu awe Mkali pale inapobidi
Source: Upendo TV