rita death certificate attachment

Joined
Oct 10, 2020
Posts
16
Reaction score
1
Habari za muda huu wakuu,

Ninaomba msaada juu ya jinsi ya kuandika:
  1. Muhtasari wa kikao cha familia ulioshirikisha wanandugu wasiopungua saba pamoja na nakala za vitambulisho vyao.
  2. Kiapo cha mahakama.
  3. Muhtasari wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Kata ikithibitisha kutokea kwa kifo.

Naombeni mnisaidie kupata format ya nyaraka hizi kwa sababu nina wiki moja tu ya kuomba mkopo. Msaada wenu utanisaidia sana.
 
Andika kama kumbukumbu ya kikao ,then ambatanisha majina yasioypungua kumi ya wanaukoo ikiwemo viongozi WA WA uko na sahihi zao, Mimi niliwahi kufanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…