OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,102
- 114,703
Wakuu wa RITA akizungumza na waandishi wa habari amesema jiji la Dar limeongoza kwa utoaji wa talaka.Amesema kati ya talaka 70 walizosajili tangu January mpaka June,talaka 58 ni za wana Daresalama! MY TAKE:Wana Dar tunajua maisha yamekuwa JIWE kutokana na hii hali ya JPM,nawataka mvumiliane