Risiti zetu

msembezu

Senior Member
Aug 18, 2014
179
29
IMG-20161231-WA0000.jpg
IMG-20161231-WA0000.jpg
 
Hii Nchi tunahitaji maombezi at first tuli import MAKOROKORONI kwa maana ya KK Guards, now hata Parking system inatoka KENYA?! No wonder wanatudharau sana. [HASHTAG]#TumeruhusukuongozwaNaAkiliNdogo[/HASHTAG]
 
wana uzoefu nas hatuna - kwa hiyo wamepewa kazi na wafikisha mzigo kamili na kwa wakati !
 
Kumbe ndo kirefu cha zile uniforms mpya za watu wa parking naona zimeandikwa KAPS nikawa sielewi kirefu. Kweli nasi kampuni zetu zote zilishindwa tenda au tumekuja wapigaji mpaka wanaotoa tenda wametuchoka
 
Mbona wapo wabongo ni walinzi wa magetini huko Kenya! soko huru
 
Back
Top Bottom