gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Hapana ni mkuu wa ulinzi na usalama wa mji wa arusha!Gambo ni Mbunge wa Arusha mjini!?
Hapana ni mkuu wa ulinzi na usalama wa mji wa arusha!Gambo ni Mbunge wa Arusha mjini!?
Hivi anayeongeza ni Gambo au Mbunge! Kwa uelewa wangu MB ni muwakilishi tu wa Wanaanchii , kiongozi ni Gambo!Gambo ni Mbunge wa Arusha mjini!?
ni mimi nilikuwa natest mashine yanguWakuu nahisi kuna watu washafanya yao muda huu pande za njiro mitaa ya radio 5 maana zimepigwa risasi za kutosha zimesikika.
Kama sio kuvamiwa basi kuna mjinga tu kaamua kujifurahisha tu maana wknd hizi zinamambo na arusha silaha watu wanafanyiaga sifa...maana mlio ni kama short gun vile..
Kama ni tukio la uhalifu kesho itajulikana na nitawapa updates.
Ww uko njiro? Basi nenda eneo la tukioWakuu nahisi kuna watu washafanya yao muda huu pande za njiro mitaa ya radio 5 maana zimepigwa risasi za kutosha zimesikika.
Kama sio kuvamiwa basi kuna mjinga tu kaamua kujifurahisha tu maana wknd hizi zinamambo na arusha silaha watu wanafanyiaga sifa...maana mlio ni kama short gun vile..
Kama ni tukio la uhalifu kesho itajulikana na nitawapa updates.
Ndo shot gun maana huku songea nmesikia milioWakuu nahisi kuna watu washafanya yao muda huu pande za njiro mitaa ya radio 5 maana zimepigwa risasi za kutosha zimesikika.
Kama sio kuvamiwa basi kuna mjinga tu kaamua kujifurahisha tu maana wknd hizi zinamambo na arusha silaha watu wanafanyiaga sifa...maana mlio ni kama short gun vile..
Kama ni tukio la uhalifu kesho itajulikana na nitawapa updates.
Umeandika unaongozwa na majambazi! Haya tuambie mkuu wa mkoa na wilaya hapo Arusha ni majambazi? Kukurupuka kwingine ni zaidi ya shida!Gambo ni Mbunge wa Arusha mjini!?
Acha ujambazi jombaa.Umeandika unaongozwa na majambazi! Haya tuambie mkuu wa mkoa na wilaya hapo Arusha ni majambazi? Kukurupuka kwingine ni zaidi ya shida!
Gambo ni Mbunge wa Arusha mjini!?
Unawajua viongozi wa mkoa kweli wewe?Arusha Mji wa majambazi na unaongozwa na majambazi.
Ujambazi haulipi awamu hii. Acha mara moja!Gambo ni mkuu wa mkoa hivyo ni juu ya mbunge. Yeye anamuongoza mbunge
Sijui Jambazi.Unawajua viongozi wa mkoa kweli wewe?
Hata usijar. Nilkuwa naosha short gun yang kwa bahat mbya ikafyatuka.