maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,341
- 15,829
Wakuu nahisi kuna watu washafanya yao muda huu pande za njiro mitaa ya radio 5 maana zimepigwa risasi za kutosha zimesikika.
Kama sio kuvamiwa basi kuna mjinga tu kaamua kujifurahisha tu maana wknd hizi zinamambo na arusha silaha watu wanafanyiaga sifa...maana mlio ni kama short gun vile..
Kama ni tukio la uhalifu kesho itajulikana na nitawapa updates.