Risasi zarindima Arusha

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Wenye taarifa watujuze,mida hii kuna milio mingi ya risasi arusha mjini,kulikoni
 
Hee,si ungekusanya taarifa kwanza ulete habari kamili mkuu?
 
Labda wanaume wapo kazini wanatafuta ugali wao!
 
Maandalizi ya VALENTINE'S hayoo.! !
 
Pale monduli si kuna kambi yasije yakawa yale ya mbagala
 
Kwa arusha si jambo la kushangaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…