mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
haaaaaaaaaJana mida ya wakat Niko geto nikaskia sauti ya mahaba chumba cha jirani.
Sikuwa na wasiwasi kwan nilizan jiran ana enjoy makinikia yake.
Basi mida ya jioni Naona jamaa lingine linatoka chumba cha jiran uku likimsifia mke Wa jiran kuwa na makinikia mazur.
Iliniuma sana, sasa nawaza je niandike ripot ya makinikia !! Maana jamaa anaibiwa aisee
Sawa mkuu ngoja niandae kamatAhahaha nenda kafanye uchunguz kwnza yawezekana na ww ukapewa dhaabu
mkuu ntakutumia reportUmenifurahisha mkuu..
Kila nikikumbuka naishia kucheka
Yapo ayo mkuuDuuuh...makinikia tena ya mke wa mtu
mmmh hayaYapo ayo mkuu
mwenyewe akijua atamtumbuaMtiishie kwamba utamlipa kwa kutokumsemea kwa mume wake then akupe makinikia ugaragare nayo mkuu
nitaunda kamati ili ikague kamati yako ni feki au la coz kilakitu kinaelekea kuwa fekiSawa mkuu ngoja niandae kamat