Ripoti yangu ya makinikia

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
296
181
Jana mida ya wakat Niko geto nikaskia sauti ya mahaba chumba cha jirani.

Sikuwa na wasiwasi kwan nilizan jiran ana enjoy makinikia yake.

Basi mida ya jioni Naona jamaa lingine linatoka chumba cha jiran uku likimsifia mke Wa jiran kuwa na makinikia mazur.

Iliniuma sana, sasa nawaza je niandike ripot ya makinikia !! Maana jamaa anaibiwa aisee
 
Mtiishie kwamba utamlipa kwa kutokumsemea kwa mume wake then akupe makinikia ugaragare nayo mkuu
 
Jana mida ya wakat Niko geto nikaskia sauti ya mahaba chumba cha jirani.

Sikuwa na wasiwasi kwan nilizan jiran ana enjoy makinikia yake.

Basi mida ya jioni Naona jamaa lingine linatoka chumba cha jiran uku likimsifia mke Wa jiran kuwa na makinikia mazur.

Iliniuma sana, sasa nawaza je niandike ripot ya makinikia !! Maana jamaa anaibiwa aisee
haaaaaaaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom