Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya

Aliwafata akina Wema Sepetu usiku kule shimoni,yani alikuwa anafatilia mzigo hadi central.
 
Dah ila huyu kiumbe anapendwa na kuthibitisha hilo hata haya maelezo ya Nape mkulu atayapuuzia! Ila bora Nape kapata ujasiri wa kusema kweli
 
Kama aliwatishia wafanyakazi wa Clouds kuwaingiza kwenye tuhuma za madawa ya kulevya. SASA TUTAZIAMINI VIPI ZILI LIST MBILI ZA WAHUSIKA WA MADAWA YA KULEVYA KAMA KWELI WOTE WALIKUA WANAHUSIKA? Au wengeni alikua na visa nao?
MIMI SINA IMANI TENA NA ZILE LIST ZA MAKONDA.
we usiwe na imani lakini wapo watu wanahenya.
 
Kwa hyo hii habari kesho haitatoka kwenye magazeti yote tz na wala haitarushwa kwenye taarifa ya habari leo usiku
Hii itarushwa tu poa... habari ambazo hazitarushwa ni za yeye akijidai kufanya kazi kama RC wakati akiwa ha fit tena kwenye hiyo position... ni kwamba wanahabari hawatafanya nae kazi, hawampi ushirikiano wa kuuza sura kwa ticketi ya u RC
 
Kama walikataa kuonesha habari ya dada yule bila ya kusikiza upande wa pili vipi wanaeaskiliza clouds na kutoa ripoti bila ya kumuhoji au kumsikiza makonda
Kwahiyo kama Bashite amegoma kutoa ushirikiano kamati ingefanyaje?Ingemsubiri mpaka lini?
 
So what! at least an impact will is made.... an effect that shows not everyone agrees with his ways! and we simply want the RC to resign..... Tanzania is democratic country the last time I checked.
Sasa hiko ni lugha ya sijui wahindi wekundu? Pole sana
 
Back
Top Bottom