Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya

Timueni huyo FA FA FA kwenye ofisi za umma. Ni dhahiri vita ya madawa ilikuwa Ni ya kukomoa watu. Tunataka ichunguzwe kama ilikuwa vita halali ama la...hatumfundishi mtu kazi bali tunataka utawala wa sheria na katiba iheshimiwe sio mtu ajisifu anajiamini huku haki zawatu zinahujumiwa
 
Kuna jitu limeniambia naweza nikamaliza miezi mitatu njiani! Lengo alke lilikuwa ni nini huyu? Kunikatisha tamaa? Kuna mijitu ina roho mbaya jamani!
Hapendi uende. Nchi haina tena wazalendo hii. Kuna mdada anataka mwende ote. Naomba umkubalie.
 
Hongera mhe. Nape .... Kazi unayoifanya ni nzuri umeonyesha misingi na ukomavu pia umejijengea jina kwa kuwajibika ipasavyo ..... Nakuhakikishia kama usingefanya haya ungelaumiwa na kila mtu kwamba Waziri yupo na hakchukua hatua yoyote lakini kwa hili umenawa na uku huru na unastahili unafaa kupewa wizara nyingine nyeti ... MUNGU akutangulie
 
Kama walikataa kuonesha habari ya dada yule bila ya kusikiza upande wa pili vipi wanaeaskiliza clouds na kutoa ripoti bila ya kumuhoji au kumsikiza makonda
 
Taarifa imejaa Siasa na Chuki binafsi hakuna sababu ya muhimu ambayo inayoweza kumtia RC Makonda hatiani! Hiyo ni reportless!
 
…… .Baada ya kusema hayo wakamfuata na kumuuliza "Tuambie, ni kwa mamlaka ya nani mpaka unavamia watu kwa silaha? "

Naye akawajibu "Je, hamkusikia yaliyonenwa na mfalme Juzi?.. Haya, nendeni makwenu mkafanye kazi" .. Kisha akapanda ghorofani kwa madaha
1f622.png
1f61f.png


Ngoja Tuendelee kusubiria embe chini ya Mnazii..
1f607.png
1f637.png
[HASHTAG]#MfalmeJU[/HASHTAG]HA.
 

Attachments

  • 17309863_191297941370073_4562067433340557631_n.jpg
    17309863_191297941370073_4562067433340557631_n.jpg
    22 KB · Views: 33
Jamaa aliwatishia vijana wa shilawadu kuwa atawabambikizia kesi ya Madawa ya kulevya
Kwa hiyo maana yake ana tabia ya kuwabambikizia watu kesi tofauti tofauti ili kutimiza matakwa yake either ya kimwili au ....sijui ya nini?
 
mpaka libya sijui ila jana nilipita google map nikaona kutoka dar hadi london ni mwendo wa siku sita.......ukiwa tayari nistue twende wote
Kma ushapekua google, basi safi, huwa haidanganyi. Nipe namba yako ya whatsapp ntakutafuta within a few days my! :)
 
Nape upo juu sana nimeanza kuwa mfuasi wako. Umebadilika sana mkuu hii wizara umeimudu kwa 97%. Hii 3% Natoa kwa sababu ulikubali kudanganya uma Mnazuia bunge live ili kupunguza gharama kumbe ile ni zuio toka kwa Rais kama alivyosema mwenyewe Dodoma siku za karibuni.
 
Hii Nchi ilipofikia kuna hatari hata hii TUME ya NAPE nayo ikaundiwa TUME.
Ni nchi ya maajabu na vituko, inawezekana kabisa. Kama Kitwanga alifukuzwa uwaziri kwa kuhisiwa amekunywa pombe eti tu hakujibu swali vizuri na alikuwa akiongea ulimi ukiwa mzito bila hata ya kumpima.
 
mtu akiwa kiongozi wa ccm sijui huwa anatumia nini kufikiri,amepewa uwaziri na ameacha uongozi chamani eti ndo anafanya kazi..Hongera Mheshimiwa nape,ila makonda ana msongo wa mawazo hafai kuongoza,period.
 
Back
Top Bottom