Nimeisoma kwa makini, neno kwa neno, hakika CHADEMA ni wa kulaumiwa, kwa sababu katika report hii sehemu kubwa ni ubishi wa CHADEMA ndio ulomuuwa Mwangosi, sijui CHADEMA mtamlipa nini mjane na watoto hawa YATIMA wa mwangosi, Namlaumu Joh Heche kwa yote haya yalotokea, tubu kwa Mola wako na waombee sana watoto wa MWangosi wapate malezi bora au sivyo sijui kizazi chako wewe kitakuwa vipi! NAWAPA POLE SANA FAIMIA YA MWANGOSI ... na MOLA AWAFARIJI WAKATI WOTE NA AWAKUZE WATOTO WENU KATIKA MAADILI MEMA YENYE UCHA MUNGU.
Wakuu ripoti ya Mwangosi (MCT) imeshatolewa.
Lengo la uchunguzi huo ni kuweka rekodi sawa ya mazingira yaliyopelekea kuuawa kwa Mwangoso. Hata hivyo uchunguzi hauwezi kuthibitisha kama mauaji hayo ya Mwangosi yalipangwa. Hadidu za rejea tuu zinaonyesha hawakuwa na jipya la kuchunguza. Hili linadhibishwa na uchunguzi wenyewe kuchukua siku nane tuu.
Hii ripoti siyo sawa kuita ni ya kichunguzi kwa sababu haijakidhi matakwa hao. Hakuna analysis or any sort of investigations iliyofanywa hapa. Kila mtu aliyefuatilia hili suala anajua zaidi ya kilichomo kwenye hii ripoti. Tatizo waandishi wetu wamezoea kuripoti mambo bila kuyafanyia analysis na uchunguzi wa kina.
With all the information available on the internet, hata mie nisiye mwandishi wa habari, I could have sat in front of my PC na kundaa ripoti kama hiyo ndani ya siku nane!
This leaves me to wonder kama ripoti ya Baraza la Habari Tanzania na Jukwaa la Wahariri Tanzania ndiyo hii, tutegemee nini kwenye hizo ripoti za Polisi na Nchimbi?
ripoti haijaeleza kwa nini Godfrey Mushi alikuwa akipigwa na
polisi mpaka Mwangosi kuingilia kati,na kugeuziwa kibao
Well sijaifungua hii lkn taarifa nilizopata ni kwamba hawajadisclose chochote kwa madai kwamba wataingilia uhuru wa mahakama kwa kuwa suala liko ktk chombo hicho. So siku 30 za kazi plus posho walizolamba ndo hatima yake
"However, investigations by the MCT team could not establish if the killing of Mwangosi was pre-meditated". This statement nullify all of the stories in the Report. Na hii ndio tunasema ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi wa Tanzania
Chaguzi za UVCCM sasa hivi ndivyo wanavyohudhuria. na sifa ya pili Gachuma amewaomba mvute bangi sana.CCM ni taifa kubwa hakuna CCM nyingine duniani ndio maana hakuna haja ya kuweka kirefu chake! hata mtoto alozaliwa leo anajua CCM inastand for what !
.yote waliyoandika hapa asilimia 95 ndio yaliyotangazwa na kuyasoma mitandaoni....
Ulidhani Rais Museven ni mjinga kuamka na BBC? East Africa kuna nchi moja tu na ni Kenya peke yake.''hitimisho na mapendekezo'' yameniacha hoi!!! hawa waandishi wetu hawa!!!! kuna mapendekezo gani hapa???.......kazi ipo ndani ya nchi hii..ndio maana njomba nkapa alikuwa angoma kuhojiwa nao