Wapo mkuu,ngoja watakujaHivi wataalamu wetu hawawezi kutueleza ni kwa namna gani deni hilo linaweza kupunguzwa?
Majuzi tunaambiwa kwamba mali za nchi yetu zinaibiwa kwa mbinu za ajabu - eti hata kwenye side mirror mzigo unabebwa, mara kwenye spair taili, mara kwenye matikiti maji ... jamani ... tuhurumiane.
Kwa hyo ni vema waTanzania tutembee vifua mbele sasahaina shida tutalipa
Hahaha,wabongo hamna HurumaHapo Ndugai kachangia deni kuongezeka kwa matibabu yake ya miezi zaidi 2 kule India
CAG anasema ni DENI HIMILIVU.DENI LA TAIFA LAONGEZEKA.
Deni la taifa katika Ripoti ya CAG linaonyesha kuongezeka kutoka trillion 46.08 kwa mwaka unaoishia juni 2017 hadi kufika Trillion 50.92 huku deni la ndani likiwa shilingi Trillion14.73 na deni la nje likiwa trillion 36.19 ikiwa ni ongezeko la asilimia 10.
CAG Prof Assad Amesema deni hilo ni himilivu licha cha kuwepo kwa mapungufu mbalimbali katika usimamizi ikiwemo katika usahihi wa taarifa kutokana na udhibiti wa ndani usiojitosheleza.View attachment 1067574
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhhah unamvimbisha Raisi yakoHilo Ni ongezeko dogo Sana ukolinganisha na miradi mikubwa tunayofanya.
Miaka mingine ongezeko lilikuwa kubwa zaidi ya hili.
Hongera Sana Mhe Rais katika hili
BahariaChomboni
Suala sio kuwa deni himilivu issue ni asilimia za ongezeko la deni kwa kila mwaka.CAG anasema ni DENI HIMILIVU.