samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,962
Inakadiriwa kuwa kati ya mwaka 2014 hadi june 2015,ajali za Bodaboda zipatazo 10,351 na kusababisha majuruhi 10,079 na kusababisha vifo vipatavyo 514. Huku ikielezwa kuwa sababu kuu ni speed na kutokuwa makini barabarani.
Tunajua kuwa hali ya maisha ni ngumu na kila mtu anatafuta namna ya kujikwamua kutokana na hali ngumu lakini kuweni makini.
Hivi ni kweli hatuwezi kupunguza hizi ajali za Bodaboda kama sio kuzimaliza kabisa.
Kwani kuvaa helmet na kudhibiti ubebaji wa abiria haiwezekani ......... kama vipi tuzuie kabisa biashara ya bodaboda maana inatuachia VILEMA wengi mno ambao wanakuwa tegemezi wakati wao ndio walikuwa wanategemewa.
Serikali fanyeni kitu kwa hili janga.