RIP Upinzani

RIP Upinzani

Upinzani Tanzania ulale pema peponi.

Hakuna tena matumaini ya kufufuka. Alisikika kiongozi wao akiomba jumuia za Kimataifa kuongoza nchi kwa serikali mseto ila CCM wasiwepo kwenye huo mseto.

Kauli ile ndio ilikuwa karata yao ya mwisho kabla kupigwa Three people let us count our cards.
Bahati mbaya wananchi wakaipuuza ile kauli na kuona sura halisi ya upinzani.

RiP upinzani. Sasa hivi kitu ambacho watakifanya ni kudandia kila jambo linalotokea mpaka 2030.
Akili za Lucy Anthony hizi
 
Hapa Tanzagiza mbona upinzani ulishaamia kwa wanainchi siku nyingi sana.

Sasa hivi mpinzani mkuu wa serikali ya ccm ni wanainchi na sio CHADEMA tena.

Nyie endeleeni kuboresha maslahi ya mapolisi huku mkiomba waendelee kuwa wajinga, maana ndio wanaofanya mkalie hizo ofisi mpaka muda huu.
 
Ukifanya jambo zuri utapata upinzani mfano JPM alifanya mengi mazuri lakini bado alipata upinzani kutoka ndani kutoka kwa majizi na mafisadi .UKIFANYA MAZURI utapingwa utakuwa na uopinzani bado..ndani na nje

UKIFANYA MABAYA bado pia utakuwa na upinzani..utapingwa bado..

Kama una akili timamu huwezi kushindana na wapinzani wanaokukosao...wakati wa mkapa mbona alikuwa anakosolewa ila anapiga kimya hata wakati wa kikwete mbona alikuwa anakosolewa ila alikuwa na uvumilivu wa kisiasa..

dawa ya wapinzani wako na wakosoaji wako sio kuwateka sio kuwafungia ....hata ...aliyekuja kuharibu upinzani ni awamu ya 5 kwa kuwaterm watu wenye mawazo kinzani wanaotaofautiana mawazo na mawazo yako kuwa ni MAADUI ..MABEBERU...ila UPINZANI MKUBWA huwa unatoka NDANI na wala sio nje.

JPM upinzani na adui zake hawakuwa kina LISU kama alivyodhani.
 
Wimbo wa upinzani kufa ni mwaka wa 6 sasa ninausikia.

Ila kesho wakisema wana mkutano hata wa ndani , policcm wanazingira jengo na kuzuia huo mkutano.
 
Hapa Tanzagiza mbona upinzani ulishaamia kwa wanainchi siku nyingi sana.

Sasa hivi mpinzani mkuu wa serikali ya ccm ni wanainchi na sio CHADEMA tena.

Nyie endeleeni kuboresha maslahi ya mapolisi huku mkiomba waendelee kuwa wajinga, maana ndio wanaofanya mkalie hizo ofisi mpaka muda huu.
Exactly ndio maana hata ukifungia upinzani ama ukafuta vyama vyote vya upinzani ambao kwa hapa kwetu culinzani ni hii Chadema ya LISU pekee..hata ukiifungia ama uki ifuta kabisa..bado upinzani HAUTAISHA/HAUTAKUFA mana mwazo/imani/mitazamo/ watu bado wanaishi.
 
Yaani pale ndipo nilimuona heche kuwa ni mbuzi
"YAANI WAZUNGU WAJE KUONGOZA SERIKALI YA MSETO TANZANIA?"
huyu aliona wapi haya?

kama haya ndo mawazo ya upinzani, basi ni takataka
Na chama kilichoshinda kwa 98% kinaogopa upinzani mpka samuya anajificha vichochoroni.
 
Back
Top Bottom