Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,172
- 48,689
Ukiwa ccm akili unakuwa huna pili unakuwa hujastarabika, tatu unakuwa mjinga na nne upo kwenye danger zoneUpinzani Tanzania ulale pema peponi.
Hakuna tena matumaini ya kufufuka .
Alisikika kiongozi wao akiomba jumuia za Kimataifa kuongoza nchi kwa serikali mseto ila CCM wasiwepo kwenye huo mseto.
Kauli ile ndio ilikuwa karata yao ya mwisho kabla kupigwa Three people let us count our cards.
Bahati mbaya wananchi wakaipuuza ile kauli na kuona sura halisi ya upinzani.
RiP upinzani.
Sasa hivi kitu ambacho watakifanya ni kudandia kila jambo linalotokea mpaka 2030.
RIP upinzani huku umebana pia?Upinzani Tanzania ulale pema peponi.
Hakuna tena matumaini ya kufufuka. Alisikika kiongozi wao akiomba jumuia za Kimataifa kuongoza nchi kwa serikali mseto ila CCM wasiwepo kwenye huo mseto.
Kauli ile ndio ilikuwa karata yao ya mwisho kabla kupigwa Three people let us count our cards.
Bahati mbaya wananchi wakaipuuza ile kauli na kuona sura halisi ya upinzani.
RiP upinzani. Sasa hivi kitu ambacho watakifanya ni kudandia kila jambo linalotokea mpaka 2030.
hayaHaya mwaya..
Upinzani Tanzania ulale pema peponi.
Hakuna tena matumaini ya kufufuka. Alisikika kiongozi wao akiomba jumuia za Kimataifa kuongoza nchi kwa serikali mseto ila CCM wasiwepo kwenye huo mseto.
Kauli ile ndio ilikuwa karata yao ya mwisho kabla kupigwa Three people let us count our cards.
Bahati mbaya wananchi wakaipuuza ile kauli na kuona sura halisi ya upinzani.
RiP upinzani. Sasa hivi kitu ambacho watakifanya ni kudandia kila jambo linalotokea mpaka 2030.
UN, AU na SADC kwako zinawakilisah wazungu? Ama huna ujualo ni kufuata upepo tu?Yaani pale ndipo nilimuona heche kuwa ni mbuzi
"YAANI WAZUNGU WAJE KUONGOZA SERIKALI YA MSETO TANZANIA?"
huyu aliona wapi haya?
kama haya ndo mawazo ya upinzani, basi ni takataka
Rip ccmUpinzani Tanzania ulale pema peponi.
Hakuna tena matumaini ya kufufuka. Alisikika kiongozi wao akiomba jumuia za Kimataifa kuongoza nchi kwa serikali mseto ila CCM wasiwepo kwenye huo mseto.
Kauli ile ndio ilikuwa karata yao ya mwisho kabla kupigwa Three people let us count our cards.
Bahati mbaya wananchi wakaipuuza ile kauli na kuona sura halisi ya upinzani.
RiP upinzani. Sasa hivi kitu ambacho watakifanya ni kudandia kila jambo linalotokea mpaka 2030.
sawa. lakini dunia inataka kujua WALIKUFA WANGAPI?haya
Katika bara la afrika uliwahi sikia wapi aina hyo ya usimamizi wa uchaguzi au serikali ya msetoUN, AU na SADC kwako zinawakilisah wazungu? Ama huna ujualo ni kufuata upepo tu?
Kwa hapa Afrika itaanza kusikika hapa kwetu. Serekali ya mseto ilikiwa pia hapo Zimbamwe, Kenya nk.Katika bara la afrika uliwahi sikia wapi aina hyo ya usimamizi wa uchaguzi au serikali ya mseto