RIP Ndanda Kossovo

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,606
729,498
1460359782784.jpg
 
Hakua ndg yangu wala rafiki yangu, but kifo hiki kimeniuma sana maana jamaa nilikutana nae siku moja(2011)pale addis ababa alikua alitokea ubalozi wa Japan kugonga visa ya kuingia Japan. Mimi nilikuwa naenda Malasya ila nilikua pale kwa siku chache na nilifikia Wassamar Hotel, hii ipo African evenue road kama sijakosea. Jamaa tulikunywa nae kahawa kisha tukaachana, alinipa contact zake but sikushughulika nazo maana sina hulka ya kua na marafiki wasanii.
So kifo chake ni kama naona masihara hivi.... R. I. P Ndanda, wewe umetangulia sisi tupo nyuma yako!!
 
SI ungesema Tu R.I.P unazunguuka kama kicha, Mara hotel flan Mara foko foko Mara nywe nywe, be specific man
 
R I P Ndanda Kosovo tungo zako na umahiri wako tutaukumbuka daima.Kawasalimie Marijani Rajabu Jabali la Muziki,Mbaraka Mwinshee Sololist National,Maalimu Gurumo,Nico Zengekala,Ndalla Kasheba Suprme Maestro na wengine wengi walio tangulia mbele za haki.
 
Kweli Nina mimba ya babako, acha kabisa inanisumbuaje, halafu inakichukia sasa
Kulikua na sababu gani ya kumujuisha babangu aliyetangulia mbele ya haki miaka 6 Iliyopita kwenye uzi huu mkuu?
Anyway, sitaki kuendeleza malumbano na wewe maana jamii forum ni kama familia moja so kama nilikukosea niwie radhi mkuu.
Have a nice day bye!!!!!
 
GT Wonderful
 
Back
Top Bottom