SUMUYANGE
Member
- Apr 5, 2017
- 31
- 67
Kumbukumbu Mbaya.
Leo imetimia miaka mitano tangu pale polisi walipofanya mauaji ya kutisha maeneo ya Nyololo Iringa 2012, walimuua mwandishi wa habari kwenye mkutano wa CHADEMA kipindi cha oparation/vuguvugu la mabadiliko M4C kwa kumlipua kwa bomu na mwili wake kusambaratika vibaya. Ni ndugu Daud Mwangosi aliezikwa Tukuyu Mbeya.
R.I.P Mwangosi
Sent using Jamii Forums mobile app