Cesar Saint
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 423
- 727
kuiogoza Mossad
Apumzuke Kwa amani sababu alifanya kazi inayompendeza bwana na Allah kunyonga wote wenye kisilani na Israel so alitimiza wajibu wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna lolote we mlokole nishakwambia... kwani waliopumzika peponi hakuna aliyewahi kuuwa? Hicho kifaa hapo unakijua? Na mmiliki wake unamjua?View attachment 1054323
Kwahiyo huyo mzungu muuaji alikua mtume?
Wayahudi ni makauzu na makatili sana, ila yote tisa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye masuala haya ya ujasusi na jeshi hawa jamaa wako mbele sana na sijui kwanini. Maana nikianza kuwaangalia wayahudi kama Moshe Dayan, Henry Kissinger, Felix Dzerzhinsky, Leon Trotsky, Lavrentiy Beria, Julius and Ethel Rosenberg huwa nafikiria sana.
NB: Jamii ndogo sana ya watu lakini mziki wao ni mzito sana
Wana hatari sana hawa jamaa, sijui kwanini wako hivi.Ongezea hapo na king of shadows, Meir Dagan
... wewe una nini?Huna lolote we mlokole nishakwambia
Ni swali ambalo hata wao wanaweza wasiwe na jibu lenye kukata kiu.Wana hatari sana hawa jamaa, sijui kwanini wako hivi.
We unaonaje, wanafanana?Kwahiyo huyo mzungu muuaji alikua mtume?
Yap....sijafurahia kifo chake ila naona ni bora alivyopumzika
Naam mkuu! Suala sio mko kiasi gani bali mmeji-organise kiasi gani.Wayahudi ni makauzu na makatili sana, ila yote tisa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye masuala haya ya ujasusi na jeshi hawa jamaa wako mbele sana na sijui kwanini. Maana nikianza kuwaangalia wayahudi kama Moshe Dayan, Henry Kissinger, Felix Dzerzhinsky, Leon Trotsky, Lavrentiy Beria, Julius and Ethel Rosenberg huwa nafikiria sana.
NB: Jamii ndogo sana ya watu lakini mziki wao ni mzito sana
Historia chafu, mateso na manyanyaso waliyowapata hawa watu na hasa kuishi 'ugenini' kuliwafanya akili ziamke na kuyasaka maisha kwa nguvu zote. Ni kama 'watoto wa kambo tu' au watoto waliolelewa bila wazazi, wengi wao huwa ni wenye mafanikio sana.Wana hatari sana hawa jamaa, sijui kwanini wako hivi.