KIMAROO JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 453 Reaction score 259 Feb 4, 2013 #1 Alikuwa mbunge wa siha kabla ya aggrey mwanri. Leo ndio anazikwa kijijini kwake huko sanya juu
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,709 Feb 4, 2013 #2 Kazi ya Mungu haina makosa! RIP ex -MP!
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,198 Reaction score 37,526 Feb 4, 2013 #3 Mkuu kimaro alikuwa mgonjwa au ajali ?.Huyu jamaa alikuwa kichwa sana tangu akiwa Chuoa cha Ushirika Moshi. KIMAROO said: Alikuwa mbunge wa siha kabla ya aggrey mwanri. Leo ndio anazikwa kijijini kwake huko sanya juu Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mkuu kimaro alikuwa mgonjwa au ajali ?.Huyu jamaa alikuwa kichwa sana tangu akiwa Chuoa cha Ushirika Moshi. KIMAROO said: Alikuwa mbunge wa siha kabla ya aggrey mwanri. Leo ndio anazikwa kijijini kwake huko sanya juu Click to expand...
A ammah JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 222 Reaction score 70 Feb 4, 2013 #4 Ngongo said: Mkuu kimaro alikuwa mgonjwa au ajali ?.Huyu jamaa alikuwa kichwa sana tangu akiwa Chuoa cha Ushirika Moshi. Click to expand... Aligongwa na gari maeneo ya Africana tarehe 30/1/2013 na kuuga dunia. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ngongo said: Mkuu kimaro alikuwa mgonjwa au ajali ?.Huyu jamaa alikuwa kichwa sana tangu akiwa Chuoa cha Ushirika Moshi. Click to expand... Aligongwa na gari maeneo ya Africana tarehe 30/1/2013 na kuuga dunia.
KIMAROO JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 453 Reaction score 259 Feb 4, 2013 Thread starter #5 ajali mkuu looh nimesikitika sana
Bubu Msemaovyo JF-Expert Member Joined May 9, 2007 Posts 4,189 Reaction score 3,548 Feb 4, 2013 #6 R.I.P. poleni ndugu, jamaa na marafiki na TZ kwa ujumla.
malema 1989 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 1,323 Reaction score 529 Feb 4, 2013 #7 wakati marehemu akiwa mbunge maeneo yote ya kilimanjaro isipokuwa majimbo ya wapare yalikuwa chini ya upinzani! rip kamanda!
wakati marehemu akiwa mbunge maeneo yote ya kilimanjaro isipokuwa majimbo ya wapare yalikuwa chini ya upinzani! rip kamanda!
kbm JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 5,224 Reaction score 1,685 Feb 4, 2013 #8 REQUIEM Makidara Elias: Pumziko la Milele umpe ee Bwana, Na mwanga wa Milele umwaangazie, Apumzike kwa amani... Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, Wapumzike kwa amani. Amina
REQUIEM Makidara Elias: Pumziko la Milele umpe ee Bwana, Na mwanga wa Milele umwaangazie, Apumzike kwa amani... Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, Wapumzike kwa amani. Amina
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,781 Feb 4, 2013 #9 aPUMZIKE KWA AMANI! Pole kwa familia.
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,496 Reaction score 3,388 Feb 4, 2013 #10 Mwenyenzi MUNGU ampe pumziko la milele shambani mwake!
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,270 Feb 4, 2013 #11 Eee Mungu, mpe raha ya milele kwenye bustani yako huyu school-mate wangu Arusha Secondary School.
Sangarara JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 13,104 Reaction score 5,665 Feb 5, 2013 #13 apumzikemilele