Ulivyosema tu kuwa anaitwa TOTO BOMBA sitaki tena kupoteza muda Kuuliza ni Ugonjwa gani ambao umemchukua mazima.Mwanahabari, Fatuma Mwangala maarufu Toto Bomba ameaga dunia, vyanzo vya kuaminika vimethibitisha.
Buriani Toto Bomba, makiwa kwa familia, jamii na marafiki.
#COCOFM
#ladhayapwani
ww jamaa bhna 😁😀Ulivyosema tu kuwa anaitwa TOTO BOMBA sitaki tena kupoteza muda Kuuliza ni Ugonjwa gani ambao umechukua mazima.
Ni ugonjwa gani?Ulivyosema tu kuwa anaitwa TOTO BOMBA sitaki tena kupoteza muda Kuuliza ni Ugonjwa gani ambao umechukua mazima.
Alivyosema au alivyo???Ulivyosema tu kuwa anaitwa TOTO BOMBA sitaki tena kupoteza muda Kuuliza ni Ugonjwa gani ambao umechukua mazima.
Itakuwa ni Dally Kimoko tu huo Mkuu na hakuna mwingine. Umeshaambiwa alikuwa akiitwa TOTO BOMBA unategemea nini?Ni ugonjwa gani?
Ni sawa na kutaka nikupe tofauti ya Abdallah na Dulla.Alivyosema au alivyo???