RIP Ernest Chonjo wa Arusha

Hapana Falme ndio mkubwa, Erenest anmfuata Henry.

1. Falme Chonjo
2. Johnson Chonjo
3. Benson Chonjo
4. Henry Chonjo
5. Ernest Chonjo - RIP
6. Erick Chonjo
7. Shamsia Chonjo
Mkuu yupi kati ya hawa anasemekana ni jambazi la kufa mtu!
 
Bilionea mwingine wa Arusha afariki dunia. mabilionea wa Arusha wanapukutika.
 
RIP Ernest Chonjo.

Pole sana Dada yangu Luckystar kwa kufiwa na mume katika umri mdogo.
 
Ernest hausiani kidamu na Falme. Kama ni watoto wa Yule Mzee W. Kitambi? na Mama mrefu ... natia shaka. Msichafue koo za watu humu JF & MShindwe Mlegee!!. Rip Ernest
Hapana Falme ndio mkubwa, Erenest anmfuata Henry.

1. Falme Chonjo
2. Johnson Chonjo
3. Benson Chonjo
4. Henry Chonjo
5. Ernest Chonjo - RIP
6. Erick Chonjo
7. Shamsia Chonjo
 

Chonjo ni mfanyabiashara au JAMBAZI? Mimi namfahamu kama lijambazi SUGU. Go in hell CHONJO
 
Hapana Falme ndio mkubwa, Erenest anmfuata Henry.

1. Falme Chonjo
2. Johnson Chonjo
3. Benson Chonjo
4. Henry Chonjo
5. Ernest Chonjo - RIP
6. Erick Chonjo
7. Shamsia Chonjo
Hawa jamaa kwao wote ni majambazi.
 
Hapana Falme ndio mkubwa, Erenest anmfuata Henry.

1. Falme Chonjo
2. Johnson Chonjo
3. Benson Chonjo
4. Henry Chonjo
5. Ernest Chonjo - RIP
6. Erick Chonjo
7. Shamsia Chonjo

Erick Chonjo ameingiaje hapa? Au huyu atakuwa ni Erick mwingine tofauti na huyu wa prof. Chonjo? Vinginevyo tujitahidi tusichafue majina ya watu ili mradi tu ni Chonjo. Ninamfahamu Erick Chonjo (Bambi) ndugu na Alan Chonjo ambao ni wastaarabu waliozaliwa katika familia ya kistaarabu na wanahangaika na maisha yao huku Erick Chonjo akimiliki kampuni yake ndani na nje ya nchi na mdogo wake akiwa Meneja katika kampuni moja ya inayotengeneza vinywaji. Kwa hiyo tusaidie hapa huyu Erick Chonjo ni yupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…