Hivi nyie mnazijua sifa za mtu kuwa Lecturer au mnaosha vinywa tu hapa? Mtu ana masters eti Lecturer.
endelea kujaza post

tena sio lecturer ni senior lecturer kujua kwanini kapewa hicho cheo kamuulize Prof G D Mjema sawa
Hivi nyie mnazijua sifa za mtu kuwa Lecturer au mnaosha vinywa tu hapa? Mtu ana masters eti Lecturer.
hata toutorial assistants mnawaita lectuturer.Hebu tuambie nani anastahili kuitwa Lecturer? nimefundishwa na mwalimu mwenye Masters -Financial Analysis katika masters level ambaye alikuwa anakuwa refered kama Lecturer sasa sijui nayo ilikuwa haiko sawa! Anyway IFM wakati wetu kulikuwa Senior Lecturer ambao walikuwa wana Masters tu cha muhimu ilikuwa kama wanafundisha na ku-fanya research tu na publications. Sasa sijui kama una tatizo na hilo pia!
Ukifa matendo yako yanakufuatawatu bwana marehemu alishatangulia kwa amani huko alipoenda nyie mnaanza kumchambua kweli wanadamu hatuwezekaniki

namfahamu, alikuwa mgonjwa siku nyingi. Ataondoka na wengi sana huyo
hata toutorial assistants mnawaita lectuturer.
Google uone lecturer ana sifa sipi. Mwenye masters anaweza kuwa promoted kuwa lecturer based on work experience kwa maana ya muda aliokaa kazini akifundisha pamoja na maandiko aliyoandika. Otherwise ni assisstant lecturer tu

endelea kujaza post
Hivi nyie mnazijua sifa za mtu kuwa Lecturer au mnaosha vinywa tu hapa? Mtu ana masters eti Lecturer.
Ukifa matendo yako yanakufuata