RIP Baba Ndetichia!!

Pole na nakutakia ujasiri kwenye kila hatua unayopiga kwenye maisha yako. Kumbuka njia pekee ya kuwaenzi waliotangulia mbele ya haki ni kutenda kwa bidii yale waliyoyategemea kutoka kwako.
 
Habari zenu wakuu!
Siku kama ya leo mnamo mwaka 2010 nilipoteza baba yangu mzazi ambaye aligongwa na pikipiki na kufariki.

Nakuombea kwa mungu babangu mpendwa..

ndetichia

Utu uzima dawa...
Pole kwa kuishi bila baba kwa miaka hii miwili...
 
Pole na nakutakia ujasiri kwenye kila hatua unayopiga kwenye maisha yako. Kumbuka njia pekee ya kuwaenzi waliotangulia mbele ya haki ni kutenda kwa bidii yale waliyoyategemea kutoka kwako.

thanks mkuu..
 
Pole sana Mkuu. Naungana nawe ktk kumshukuru Mungu kwa kukuwezesha kuifikia siku ya leo na kumkumbuka mzee wetu. RIP Baba Ndetichia.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom