RIP-Abel Mifoto(Maroon Commandos-KENYA ARMY | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RIP-Abel Mifoto(Maroon Commandos-KENYA ARMY

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by kayundi2, Aug 2, 2011.

 1. k

  kayundi2 JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [video=youtube_share;B4fHUxo21nk]http://youtu.be/B4fHUxo21nk[/video]

  Its sad we lost Abel kifoto yesterday.Kenya Army Maroon commandos-3rd infantry will miss him dearly
   
 2. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,062
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Nafurahi issue za Kenya zinapopostiwa hapa na .....seemingly, Wakenya wenyewe. Hii yaonesha JF inakubalika. Tofauti na wale wenye fihi, chuki, husuda, wivu (ambavyo vyaonesha wao wenyewe hawajiamini na kwa kweli wanajiona wadogo na wa kudharaulika... ) mimi nakaribisha uhusiano na Wakenya na tushindane nao katika walio sawa. Ni kwa kufanya hivyo tu ndipo Mitanzania itakapoamka na kuchapa kazi. Acheni wivu, Watanzania kweli ni wavivu wa kufanya kazi na wavivu wa fikra. Wenzenu wamefanya mapinduzi, wanaendeleza NJI yao nyie mmekaa Wakenya banaa, Wakenya banaaa...
  Nani anayekukataza kufungua biashara Kenya?
  Lakini................eh, kweli hawa wataweza kupigana...jinsi wanavyokatika viuno hivi?
   
Loading...