Ringtone za kimahaba

Kuna daladal nilipanda juzi kuna simu ya mtu iliita kwa sauti ya mcharuko wa kigodoro.
Yeye wala hakuona aibu cos ndo maisha yake
 
Kuna wale vichaa wanaotumia simu za mchina, ukiwa floor ya kwanza inaita hadi wa floor ya 5 anasikia.

Kwanini wasiweke vibration?

wanasumbuliwa na ushamba na hata hawapend hata kuulza il wasaidiwe,wana act kuwa wana kifaa kumbe hakuna lolote.
 
sidhani kama kuna umuhimu wakumchagulia ringtone mtu mwenye simu yake, kama yeye inamfurahisha mwache awe happy mpaka atakapoingia kaburini, fanya yako, achana na yasiyokuhusu,,
 
Huyo sio kijana wa field??
Msamehe tu vijana wengine hawajielewi.
 
kuna watu wanakera sana sema hawajui tu
 
sidhani kama kuna umuhimu wakumchagulia ringtone mtu mwenye simu yake, kama yeye inamfurahisha mwache awe happy mpaka atakapoingia kaburini, fanya yako, achana na yasiyokuhusu,,

sawa mkuu
 
hii ni free coutry sasa we unataka kulazimisha wote waishi kama unavyoishi wewe? utakuwa sio mzima.
. Uhuru lazima uwe na mipaka eti! ina udhi ni rafiki kaweka mlio wa Darling, babe pokea simu huwa unanikera nimejaribu mwambia hiyo simu hapigiwi na mkewe tu.
 
duuu shida hiyo bt yangu naipenda hatar huwa hainichoshi drunk in love beyonce hii naipenda hatar
 
. Uhuru lazima uwe na mipaka eti! ina udhi ni rafiki kaweka mlio wa Darling, babe pokea simu huwa unanikera nimejaribu mwambia hiyo simu hapigiwi na mkewe tu.

hata mi nimeiskia hii mkuu, taabu sana
 
pole sana mkuu, mambo ya kidijitali hayo! mbona wewe ni kibabu lakini upo kidijitali zaidi (kwa mujibu wa avatar yako)? hahahahahaha!
 
kuna raia simu yake iliita msikitini nilicheka sana yaan aliweka bonge la taarab!!!!!
 
pole sana mkuu, mambo ya kidijitali hayo! mbona wewe ni kibabu lakini upo kidijitali zaidi (kwa mujibu wa avatar yako)? hahahahahaha!

mkuu wakati mwingine inabidi uzee uweke pembeni uvae ukisasa vingnevyo utabaki peke yako katika dunia ya leo
 
simu yangu hata call tune nimeziondoa kuna boss wangu mmoja alinishauri kibiashara siyo nzuri mtu anakupia simu badaya kusikia mlio kama ule wa simu za mezani anaanza kukumbana na hotuba za kina masanja mkandamizaji.

kwakweli kila mtu ajipime mwenyewe anadili na watu gani, hata hizi mambo za Quran na nyimbo za injili kwenye call tune si kitu kizuri hasa kwa sisi wajasiliamari tunaodeal na watu tofauti tofauti.
 
UKo sahihi kwa mjasiriamali usije andika maneno ya dini au ya siasa kwenye bidhaa zako utachemsha
 
kweli kabisa mkuu, very true
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…