Ring or no ring...

Asante sana Mkuu...hayo uliyoweka hapo juu ni kweli. Nilipenda kupita kiasi kwahiyo hata ishara za hatari sikuziona. Heshima ilipopungua, nikaanza ku-comfront the issues..heshima ikawa imeshapotea..."anajiamini" so..kweli sina ndoa. watoto sio wakubwa sana..lakini nimekuwa naongea nao taratibu nisiwachanganye..nao pia wanaona..siwaambii anything negative about their mother. Nawashukuru wote humu JF kwa kunipa confidence ya kuchukua next step...divorce.

Hapo kwenye Bold upo wright kabisa, dont talk anything negative about their mom,
relax na wala usijipe pressure/Depression na wewe anza kumignore taratibu na kuchukulia ni kawaida tu

mara nying situation ikifikia point kama hii huwa hairudi nyuma, hata mkiita wazee na wachungaji mtasuruisha na atarudi ndani kwa siku ama wiki tu na mwisho atarudi Duniani kuendelea na ya kilimwengu

hapa nimehukumu kutokana na maelezo yako tu (one side)
 
Mhhuuuuu! Lets me breath first,cause i hv been touched wth ths topic,and am feel it as if its me. U man redolite woman's psychlogy is very complicated.badly enought their ultimutum decition doesn't have forecast,i swear whats u're wife thinking right now its only whats comes on her mind, and no futher forecast she has made to evaluate whats she intend to do, and i dont thnk even if she have a feeling to her kids,the comparison she makes out of her mareage by compere unmareage ones it will cost her and one day she will regrate her self,wait and see brother,da only thng u should do now is to pray to your GOD and is not bad if u will ask preyers assistance from Man of God u may know. Pole sana
 
Hapo kwenye Bold upo wright kabisa, dont talk anything negative about their mom,
relax na wala usijipe pressure/Depression na wewe anza kumignore taratibu na kuchukulia ni kawaida tu

mara nying situation ikifikia point kama hii huwa hairudi nyuma, hata mkiita wazee na wachungaji mtasuruisha na atarudi ndani kwa siku ama wiki tu na mwisho atarudi Duniani kuendelea na ya kilimwengu

hapa nimehukumu kutokana na maelezo yako tu (one side)
Mimi pia nakubali...I'm not a Saint..I had my share of misdeeds..lakini sikuwahi kulala na mwanamke mwingine kama alivyofanya yeye. ndio maana imeniuma. natamani kama ningekuwa jitu la ovyo...namwasha vibao, nalala nje n.k. ... labda nisingekuwa naumia kiasi hiki.
 
jaribu kuwa bad boy hata siku moja..
itakusaidia....tena unaanza kumuwasha vibao yule mwalimu wake yule...ikiwezekana hadharani..
unaandaa na mwanasheria kabisa...unamcharaza vibao vya kutosha..
unakuja kwake nae unampa dozi yake.....
likiisha hilo vurugu utashangaa
 
awe bad boy ili iweje BOSS? Mke arudi? Apate wivu? Apie kama bado anampenda?

Hell nooo! Rodelite in the name of love, unapata depression, sheli, bp, visukari na vichumvichumvi juu

Najua ni ngumu, lakini kama imedhihirika kiasi hicho, basi jamani....khaaa!

halafu suala la kusema eti kuna mwanamke anamshawishi huyo mkeo, nalo haliniingii asilani....mtu mzima na familia yako, ukashindwe kuamua kile kikufaacho? Huyo kajiamulia tu kushikiwa akili zake....

Its sad....wanawake na sisi tumo (kama haya uyasemayo ni kweli tupu)
 
jaribu kuwa bad boy hata siku moja..
itakusaidia....tena unaanza kumuwasha vibao yule mwalimu wake yule...ikiwezekana hadharani..
unaandaa na mwanasheria kabisa...unamcharaza vibao vya kutosha..
unakuja kwake nae unampa dozi yake.....
likiisha hilo vurugu utashangaa

Thanks mkuu Boss...but unfortunately...I can't...It's not my style... :)
 
Ninachokiona now days ni matatizo mengi among people,tumeweka imani na mitazamo yetu kwenye vitu,na haya ni matunda ya wanaotaka kutupeleka wanakotaka,nani alikuambia ring ni chochote?It just a ring nothing else,kwanini ujipe shida kwa sababu ya kitu?Kama amevua angalia anachofanya,hicho kinawakilisha anachokifikiri leave ring out of this!
 
Kwenye miti kweli hapana wajenzi, nimeamini na mimi, mume huyu anaonekana mpole kweli jinsi anavyojielezea
 
Haya yanaweza yakawa ni majaribu ya shetani kaingia katika ndoa yenu kiaina kisichojulikana nanyi. Sali ndugu yangu.

Jaribu kumkalisha chini usikie anasemaje, ikishindikana ita watu wazima wa karibu yenu nyote muongee nao.

Pia samahani kama unaumia roho na hili je umeshahisi analala nje ya ndoa? Maana hii ndio labda pia shetani kawaingilia ki hivi na yeye anaona uroda huko nje na ujui anampango gani. Muulize bila kuzunguka kama analala na mtu nje mara nyingi labda nae anachezewa kesho ukimuacha mwizi nae atakimbia majukumu ya kuwa nae.

Pia angalia simu yake anatabia ganai nayo ila anaweza kuwa ananjia ingine wanaelewana ya kuwasiliana. Ila angalia simu lazima utaona kitu
 
Juu ya simu

Anaweza kuwa anafuta record ya namba ya mtu huyo na kama ameishika kichwani basi hajaisevu

Sasa angalia records hadi za sms, simu zingine zinakuwa na uwezo wa kuweka record labda 20 dialled na pia received angalia kama zipo chini ya 20( inamaanisha anafuta namba)
Hii unafanya kwa siri jifanye bwegeee wala asihisi unamfuatilia maisha yake anza kumchunguza na usitoe hasira kumwambia unachofanya.

Pia sms not send/ outgoing huwa mara nyingi unaweza baka kitu hapo.

Na kama anafanya kazi lunch vipi? Anakuwa anasema anatoka sana kikazi hata during office hours?

Chunguza pole sana mapenzi yanaumiza, sali sana pia Mungu arudishe amani ndoani.
 
jaribu kuwa bad boy hata siku moja..
itakusaidia....tena unaanza kumuwasha vibao yule mwalimu wake yule...ikiwezekana hadharani..
unaandaa na mwanasheria kabisa...unamcharaza vibao vya kutosha..
unakuja kwake nae unampa dozi yake.....
likiisha hilo vurugu utashangaa
Huku watanifunga jela nikifanya hivyo...infact...wataniweka "under the Jail" kama itawezekana.... :)
 
Juu ya simu

Anaweza kuwa anafuta record ya namba ya mtu huyo na kama ameishika kichwani basi hajaisevu

Sasa angalia records hadi za sms, simu zingine zinakuwa na uwezo wa kuweka record labda 20 dialled na pia received angalia kama zipo chini ya 20( inamaanisha anafuta namba)
Hii unafanya kwa siri jifanye bwegeee wala asihisi unamfuatilia maisha yake anza kumchunguza na usitoe hasira kumwambia unachofanya.

Pia sms not send/ outgoing huwa mara nyingi unaweza baka kitu hapo.

Na kama anafanya kazi lunch vipi? Anakuwa anasema anatoka sana kikazi hata during office hours?

Chunguza pole sana mapenzi yanaumiza, sali sana pia Mungu arudishe amani ndoani.
Mkuu hiyo investigation nilishaifanya..na vitu nilivyokuta viliniumiza sana kiasi ambacho mpaka sasa nikivifikiria huwa naumia na kuwaza sana. However, nilivi-forward kwenye simu yangu kabla sijam-comfront..na alikataa at first..akakubali vingine...Vingine amekataa kabisa mpaka leo..lakini hajui kama evidence ipo kwenye simu yangu.
 
Kusema ukweli I somehow ungana na wanaomtaka huyu bwana awe Bad boy kidogo.........unajua sometimes wanawake wengine huwa tunajisahau bana. Hivi mwanamke unapokubali kuolewa (au kuoana kama wengine wanavyopendelea) huwa anafikiria nini? ndoa ni uwanja wa mapambano?, uwanja wa kubishana au uwanja wa kuonyeshana nani anajua na nani hajui?? Somehow wanawake pamoja na mambo ya kudai usawa na nini, nafasi ya mwanaume itabaki pale pale tuache kuabuse maadili tuliyoyakuta na ambayo hata iweje kujaribu kuyabadilisha ni kucreate chaos kama hizi.

Mwanamke anayeyadharau haya kwa staili ya kijinga mimi nitafurahi kama atakumbushwa hata kama ni kwa kumchapa kibao kimoja, kweli sometimes mwanaume unapaswa kuonyesha na kuutetea uanaume wako bwana ah!!
 
We have been together for 16yrs. 15 married... Yes I still care but she keeps on hurting me.. Tuna watoto...so I can't stop providing...

mmeshawahi kujaribu kuongelea tofauti zenu? 1 yr ni muda mrefu sana kuishi pa1 huku hakuna kinachoeeleweka.
 
MwanajamiiOne khaaa! Hasira za nini asubuhi yote hii?
bht sina hacra bana ni hawa wanawake wengine wananiudhi bana .........mbona haya mamisimamo mengine tusiyaonyeshe kabla hatujaolewa?? wakati wa uchumba mwonyeshe kuwa akikukosea moja, mbili tatu adhabu yake itakuwa kulala baridi, akiongea mpandishie, akikukosea koroma ili hata akikuoa anajua ameoa mtu wa aina gani. Huyu mkaka kwa jinsi alivyoiweka hii thread yaani namwonea huruma ingawa kiukweli sipaswi kwani bado siujui upande wa pili wa shilingi lakini hayo mambo ya simu tu yanankera!!

Ngoja nikafanye window shopping mie!
 
Kusema ukweli I somehow ungana na wanaomtaka huyu bwana awe Bad boy kidogo.........unajua sometimes wanawake wengine huwa tunajisahau bana. Hivi mwanamke unapokubali kuolewa (au kuoana kama wengine wanavyopendelea) huwa anafikiria nini? ndoa ni uwanja wa mapambano?, uwanja wa kubishana au uwanja wa kuonyeshana nani anajua na nani hajui?? Somehow wanawake pamoja na mambo ya kudai usawa na nini, nafasi ya mwanaume itabaki pale pale tuache kuabuse maadili tuliyoyakuta na ambayo hata iweje kujaribu kuyabadilisha ni kucreate chaos kama hizi.

Mwanamke anayeyadharau haya kwa staili ya kijinga mimi nitafurahi kama atakumbushwa hata kama ni kwa kumchapa kibao kimoja, kweli sometimes mwanaume unapaswa kuonyesha na kuutetea uanaume wako bwana ah!!

honestly ukiendelea hivi
utanifanya ni fall kwako lol
 
Kwenye miti kweli hapana wajenzi, nimeamini na mimi, mume huyu anaonekana mpole kweli jinsi anavyojielezea
Mume mpole huyu we acha tu, kweli hakuna wajenzi, anaonekana hana maneno na mtu, wala hataki maugomvi, mwache mwanamke atuke mkojo akanyage ma.... naungana na wenzangu hapo juu huyu mama anahitaji kushekiwa kiduchu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom