Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Sihitaji uza japo nina mpango wa kupata ingine ila hii siuzi ata kuigawa siigawiKwanini ujitese, uza hiyo Tv nunua nyingine mpyaa. Tena achana ana 32 nunua aghalau 43 au 50. Kuna Skyworth, Hisence, Tcl, n.k
Niki upgrade basi ni xiaom tv na si ingineKwanini ujitese, uza hiyo Tv nunua nyingine mpyaa. Tena achana ana 32 nunua aghalau 43 au 50. Kuna Skyworth, Hisence, Tcl, n.k
Smart tv hua hazitumii teknolojia ya infrared nikuelekeze tu ni wifi au bluetoothLile jicho la tv linapokea remote litakua limekufa. Ndio tabu ya vitu vya mtumba.
Sawa mkuu.Sihitaji uza japo nina mpango wa kupata ingine ila hii siuzi ata kuigawa siigawi
Nitakutumia picha soon tu tena kenya naifataMkuu umerogewa na Xiaomi 😂😂 hiyo xiaomu gharama yake sio mchezo huko online.
Acha uongoSmart tv hua hazitumii teknolojia ya infrared nikuelekeze tu ni wifi au bluetooth
dead wrongSmart tv hua hazitumii teknolojia ya infrared
Njoo na ushahidiAcha uongo
Labda matoleo ya zaman mlionayo nyieNjoo na ushahidi
Kama utaweza pata link ilio na hio kitu uniambie au nitumie apaAngalia pia na eBay maana unaweza pata muuzaji anayeuza hiyo rimoti unayoitafuta.
Sasa remote ina WiFi na bluetooth?Smart tv hua hazitumii teknolojia ya infrared nikuelekeze tu ni wifi au bluetooth
Ndio maana tunaotumia simu kuwasha TV simu lazima iwe na infared. Sasa wewe unataka utudanganyeSmart tv hua hazitumii teknolojia ya infrared nikuelekeze tu ni wifi au bluetooth
Kama utaweza pata link ilio na hio kitu uniambie au nitumie apa