Denis1729
Member
- Sep 9, 2021
- 36
- 112
Jamani naombeni msaada ni kwa mda mfupi nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mgongo upande wa kulia tu mara nyingi uwa makali hasa wakati wa usiku ukilinganisha na mchana na hii Hali naipata ninapokuwa nimelala tu hasa usiku.
Nilipoenda kupima (mkojo na kinyesi) niliambiwa Nina amoeba, UTI na PUD nikatumia dawa ila tumbo halisumbui tatizo ni mgongo tu tena upande wa kulia.
Naombeni msaada hata wa ushauri inatosha
Nilipoenda kupima (mkojo na kinyesi) niliambiwa Nina amoeba, UTI na PUD nikatumia dawa ila tumbo halisumbui tatizo ni mgongo tu tena upande wa kulia.
Naombeni msaada hata wa ushauri inatosha