Rigath Gachagua aanzisha chama chake

clan ya chadema kwa mfano,
kwa maoni yako ina imarika au ina dumaa kama CUF na NCCR mageuzi ya Lipumba na mrema?
Kwanza tujue CUF ilikuwa ya James Mapalala na Nccr ilikuwa ya mfumo

Chadema iliasisiwa na Mabwanyenye ambao Nyerere mwenyewe alikuwa anawahofia kwa sababu hawakuwa na njaa akina Edwin, Ngaiza, Sanga, Bob na Kitwange

Mizizi ya Chadema imefika Ulaya na Marekani kitambo sana hivyo kuing”oa kunahitaji akili ndefu 😁
 
in fact, Kenya is far more democratic than Tanzania, na bongo tutatumia muda mrefu sana kufikia level zao.
 
Kenya ni nchi ya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…