Binafsi nafikiri Rais wa Sudan Kusini ndiye mwenye tatizo, mara nyingi uonekana hana confidence/hajiamini, sijui ana kiwango gani cha elimu ukilinganisha na cha mwenzake - bila ya shinikizo la AU na International Community kumuwekea shinikizo hadingekubali kushirikiana na Makamu wake - jamaa hawa hawawezi kukaa chungu kimoja.
Baada ya muda si mrefu utasikia wamekorofishana tena - mkorofi pale in Rais si Reak Machar.