pierre buyoya
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 476
- 163
AminaAmani iwe kwao
Haha... Ni kazi tu.wamalize migogoro yao mapema. tunataka tuchonge diri wapitishe mafuta yao TANGA. hatuja wakaribisha EA kuuza sura, huku ni KAZI.
Amani iwe kwao
Amani ya wapi mkuu?
Ni ama atauawa Salvar kir au yeye huyo Riek machar.
Hawa watu ni maadui hatari, na wamekuwa wakiwindana Kwa muda mrefu sasa na kila mmoja ana kinyongo na mwenzake.
Note my words, tukio baya Sana litakuja kutokea Kati yao.
UNAWEZA UKAWA SAWA AU SI SAWA MKUU.Amani ya wapi mkuu?
Ni ama atauawa Salvar kir au yeye huyo Riek machar.
Hawa watu ni maadui hatari, na wamekuwa wakiwindana Kwa muda mrefu sasa na kila mmoja ana kinyongo na mwenzake.
Note my words, tukio baya Sana litakuja kutokea Kati yao.
Si Rahis kumuua..Mhh nawasi wasi mmoja atauawa.....kama sio MACHAR.......tuone
Labda Mapinduz, Mauwaji sio rais...Kama kiir hatapinduliwa basi machar atauwawa