Ridhwani kusherehekea na 'Mbiu' kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ridhwani kusherehekea na 'Mbiu' kesho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lukindo, Aug 5, 2011.

1. lukindo

lukindo JF-Expert Member

#1
Aug 5, 2011
Joined: Mar 20, 2010
Messages: 7,892
Likes Received: 6,086
Trophy Points: 280
Ridhwani Kikwete anbaye ni motto wa rais Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima katika siku ya kusherekea kwaya ya Mbiu ya Kanisa la Wasabato Usharika wa Tandala, Manzese.
Akizungumza kuhusu sherehe hizo mratibu wake, Mussa Silas, alisema kuwa shughuli hiyo inatarajiwa kufanyika kesho katika viwanja vya kanisa la Manzese SDA lililopo jirani na uwanja wa TP Afrika Sinza.
Katika sherehe hizo Ridhiwani anatarajiwa kuendesha harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Tandale, Manzese

Source: Tanzania Daima

My take
Wana jf, sina uhakika kama jukwaa nililoingia ni jukwaa sahihi lakini habari inasomeka hivyo. Msikose kuhudhuria hili kumsaidia 'dogo' kutimiza/kufikia 'malengo' yake! Kila la kheri

2. Filipo

Filipo JF-Expert Member

#2
Aug 5, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 9,329
Likes Received: 210
Trophy Points: 160
Kweli wachungaji wanaliharibu kanisa! Duh!

3. TIMING

TIMING JF-Expert Member

#3
Aug 5, 2011
Joined: Apr 12, 2008
Messages: 21,837
Likes Received: 125
Trophy Points: 160
haya makanisa sasa, ndio maana yanadharauliwa

...now i know why!!! Money, politics and cheap gains

4. Remote

Remote JF-Expert Member

#4
Aug 5, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 14,882
Likes Received: 1,563
Trophy Points: 280

sasa wasabato naona tunadhalilishana who is riz1? Simngeniita hata mimi Degedege... Wewe mtoa hbr umesema tuhudhurie ili kumsaidia dogo kutmiza malengo kwani ana malengo gani ktk harambee hyo?

5. tz1

tz1 JF-Expert Member

#5
Aug 6, 2011
Joined: Mar 19, 2011
Messages: 2,118
Likes Received: 30
Trophy Points: 145
Itakuwa kibonde ndiye aliye mwalika maana yeye ni msabato

6. K

Kintiku JF-Expert Member

#6
Aug 6, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 611
Likes Received: 72
Trophy Points: 45
KIbonde ni shahidi wa YEHOVA

7. Lambardi

Lambardi JF-Expert Member

#7
Aug 6, 2011
Joined: Feb 7, 2008
Messages: 10,320
Likes Received: 5,611
Trophy Points: 280
Hakika watoto wa mnarais nao wanaonekana kama rais wa vijana!!ngoja tuone ahadi na madongo kuwajibu wanaosema ukweli dhidi yake!!nitajitahidi sana niwepo muda huo nisikie atakachosema maana nae ana jazba sana

8. Nyangomboli

Nyangomboli JF-Expert Member

#8
Aug 6, 2011
Joined: Nov 24, 2010
Messages: 2,312
Likes Received: 651
Trophy Points: 280

hata HOSNI MUBARAKA hakuyajua haya.

9. C

CBN Member

#9
Aug 6, 2011
Joined: Aug 5, 2011
Messages: 64
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Kwanza nan amsaidie.. Kwan mdingi wake na yeye hawajui kama mtaan pesa 2naitafuta kwa tochi. Waclete mchezo na noti na haend mtu.

10. Michael Scofield

Michael Scofield JF-Expert Member

#10
Aug 7, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 1,218
Likes Received: 5
Trophy Points: 135
Wamekosa wageni wa heshima si bora hata wangemualika mh, Mrema awaendeshee harambee yao..........

11. Maarifa

Maarifa JF-Expert Member

#11
Aug 7, 2011
Joined: Nov 23, 2006
Messages: 2,881
Likes Received: 1,051
Trophy Points: 280
Hata mimi nimekuwa Shocked!! ila kuna ka historia nimekasikia kuwa BABA yake alisoma shule za wasabato kule same! Sasa ina connection sijui!, Ila kujenga Kanisa kwa pesa haramu naona hiyo dhabihu si sawasawa. NJAA ikiingia pahala hata Imani inatetereka!!!

12. M

Maswa Member

#12
Aug 7, 2011
Joined: Feb 17, 2011
Messages: 50
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Jamani! Makanisa yanatakiwa kuwaza BIG, haiwezekani Ridhiwani ndo awe mgeni rasmi......sijui kwaya hiyo imewashirikisha waumini wengine au wamejiamulia tu! Mtu kuitwa mgeni rasmi huwa kuna vigezo vingi vinatakiwa kuangalia na siyo swala la matarajiyo ya kupata michango tu! Wako wacha Mungu wengi wanauwezo wa kuwa wageni rasmi na kusherehesha shughuli kama hizo....Sioni mantiki ya ridhwani kualikwa. Siasa zisiingie makanisani ndicho chanzo cha kuingiza chachu ktk kanisa! "Politics should be separeted from church affairs"

13. Kipilipili

Kipilipili JF-Expert Member

#13
Aug 7, 2011
Joined: May 25, 2010
Messages: 2,209
Likes Received: 483
Trophy Points: 180
Nahishimu maamuz ya kanisa ila nadhan c sahih kumualika ridhwani.wametumia vigezo gani?yeye nani?mtoa habari ametukaribisha ili tumpe sapoti dogo "atimize malengo yake"hapa pana hoja ya msingi.malengo ya ridhwan ni yap?mi nilijua amekuja hapo kutimiza malengo ya kanisa,kumbe amekuja kutimiza yake?
Siamin kama mmemuita ili ajitaftie wanachama wapya.

14. Nazjaz

Nazjaz JF-Expert Member

#14
Aug 7, 2011
Joined: Jan 20, 2011
Messages: 5,348
Likes Received: 1,144
Trophy Points: 280

kwanini makanisa hupenda sana kualika mafisadi kuchangia mambo mbalimbali ya kanisa?

Loading...