Ridhwani kikwete hana makosa.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
ukimuangalia vizuri ridhwani utaona kosa si la kwake bali la mzazi especially wa kiume, majibu aliyoyatoa JK kuhusu watoto wa kike wanaopata mimba mashuleni kuwa ni kierehere chao ni kauli tosha inayoweza kukupa picha JK ni mzazi wa aina gani utafikiri kuwa yeye maishani hajawahi kufanya makosa yoyote maishani mwake. Lakini JK anatufundisha somo zuri sana kuwa sisi wanaume wote inabidi tuwe macho sana mambo tunayoyafanya mbele ya watoto wenu na tuwe mfano wa kuigwa kwani mwanao especially wa kiume kwa asilimia 90% ataiga yale unayoyafanya kwahiyo tujaribu kuwa mfano mzuri kwa watoto wetu.
 
Back
Top Bottom