KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,679
- 8,866
Nikiwa naangalia Beauty TV nikakutana na clip ya Mh. Ridhiwani Kikwete akielezea jinsi ambavyo hakuridhishwa kwa muimbaji kupewa Bendera ya Taifa kama yeye alitegemea Captain wa timu ya Taifa Stars ndo apewe bendera ya Taifa na si muimbaji anawakilisha katika mambo ya mpira ni kupoteza maana ya bendera na kutokuwa na malengo katika soka.
Mimi nimekubaliana na maoni yake lakini hapo hapo kitendo cha kuita Rais wa nchi Bwana Dr. John Pombe Magufuli kwangu hakikukaa vizuri kabisa. Mimi kimtizamo wangu ni dhahiri kuwa hajamkubali Mh. Rais katika nafasi aliyonayo.
Naomba umsikilize hapa