shetani mweusi
Senior Member
- Jun 30, 2014
- 132
- 116
Wewe kweli shetani mweusi usitake kuuadaa umma na hizo porojo zenu mnakesha mitandaoni kuwasifia mabwana zenu ili tu mkono uende kinywani,Ni kama ndoto wachambuzi wa siasa wanasema huenda ridhione kikwete atafanya makubwa katika jimbo la chalinze kuliko waliomtangulia kwani katika mdaa mfupi ametekeleza mambo mazito makubwa Mengi shule za bordingi zimegawiwa vitanda,
Umeme unasambaa kata zote vijijini na wakazi 700 wa jimbo hilo vijijini kupata umeme kabla ya novemba mwaka huu
Kwa upande wa secta ya afya mashine za kisasa zinagawiwa katika kila hosipitali huku makazi ya waalimu yakiboreshwa huku vijiji vilivyofungwa mdaa mrefu kufunguliwa kwa barabara
Nilipopata kuongea na ------ mmoja maeneo ya msata amekiri kua mbunge kama ridhione hajatokeaga...kila mwezi yupo ziarani tunakutana nae anapokea simu zote kwa kweli tumepata mbunge Mungu ampe maisha marefu
Alisema ole tete kwesu kijana wa kimasai hata kwetu umasaini anakuja mara kwa mara kutatua migogoro yetu na kutusaidia kutafta soko bora la mifugo .....
Wewe kweli shetani mweusi usitake kuuadaa umma na hizo porojo zenu mnakesha mitandaoni kuwasifia mabwana zenu ili tu mkono uende kinywani,
1. Katoa baiskel 260 kwa wanaCCM kwa hiyo hayo ndio maendeleo?
2. Kuhusu umeme labda ungetuambia katika jimbo analoliongoza kuna vijiji vingapi vyenye umeme na vingapi havina umeme na anatarajia kupeleka umeme katika vijiji vingapi na shughuli hiyo imefikia hatua gani hadi sasa.
3. Kwa kuwa baba yake alikuwa mbunge na waziri katika jimbo hilo alifanya yepi makubwa? hauoni kuwa kwa nguvu nyingi zilizotumika na Familia na taasisi ya Urais kumpigia kampeni inawezekana kabisa kutokana na aibu ya kutotekeleza ahadi zake nyingi baba yake kwa sasa anatumia nguvu na fedha za Ikulu kumsaidia mtoto wake ili kumlinda kwa kanafasi hako alikokapata ka Ubunge?
Ni kama ndoto wachambuzi wa siasa wanasema huenda ridhione kikwete atafanya makubwa katika jimbo la chalinze kuliko waliomtangulia kwani katika mdaa mfupi ametekeleza mambo mazito makubwa Mengi shule za bordingi zimegawiwa vitanda,
Umeme unasambaa kata zote vijijini na wakazi 700 wa jimbo hilo vijijini kupata umeme kabla ya novemba mwaka huu
Kwa upande wa secta ya afya mashine za kisasa zinagawiwa katika kila hosipitali huku makazi ya waalimu yakiboreshwa huku vijiji vilivyofungwa mdaa mrefu kufunguliwa kwa barabara
Nilipopata kuongea na ------ mmoja maeneo ya msata amekiri kua mbunge kama ridhione hajatokeaga...kila mwezi yupo ziarani tunakutana nae anapokea simu zote kwa kweli tumepata mbunge Mungu ampe maisha marefu
Alisema ole tete kwesu kijana wa kimasai hata kwetu umasaini anakuja mara kwa mara kutatua migogoro yetu na kutusaidia kutafta soko bora la mifugo .....
We mbunge wako kakaa karibu miaka mitano sasa, kakuletea nini?Baskeli ndio speed ya maendeleo? Kweli dunia sasa inakwisha!
Wenzio wanafuga akili kichwani wewe unafuga MAVI
Mtu ana njaa unatoa baiskeli, si ata collapse? Hivi ndo maendeleo hayoo
Kwa hiyo ulitaka akatoe chips mayayi... na wali maharagwe
Riz alipata ubunge kwa mbeleko ya baba.JK akiachia urais na m/kiti wa ccm riz hawezi kurudi bungeni,ni dhaifu mno.
wote waliopata ubunge kwa migongo ya baba zao kama riz na january makamba watapata shida sana huko mbele ya safari.
We mbunge wako kakaa karibu miaka mitano sasa, kakuletea nini?
Riz alipata ubunge kwa mbeleko ya baba.JK akiachia urais na m/kiti wa ccm riz hawezi kurudi bungeni,ni dhaifu mno.
shetani mweusi ameanza kutukana. kaazi kwelikweli.Wenzio wanafuga akili kichwani wewe unafuga MAVI