Ridhiwani Kikwete anataka Kutumia Sekretarieti ya Maadali kujisafisha?

Ridhiwani Kikwete anataka Kutumia Sekretarieti ya Maadali kujisafisha?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,200
Reaction score
11,350
Niwaonye tu viongozi wetu wa Sekretarieti ya Maadali kwamba, msije mkaingia mkenge huo. Kila siku akikutana na ninyi lazima ajisemeshe na kulialia, tunataka ateme ndoano kabisa

Sisi tunaokaa na huyo Kikwete na huyo Mwigulu tunajua mali zao ambazo hazijaandikwa kwenye makaratasi yenu.
Wanataka kutumika kama madodoki Ili 2030 njia zao ziwe nyeupe.

Na hapa sisi tunaona munalea wezi lakini Sasa wanataka muwasafishe, mutapata fedheha za maisha.

Kama hamuwezi kuwatia ndani kwa ufisadi wao basi achaneni nao tupambane nao wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom