Ridhiwani bungeni, kulikoni?

1) man kuna tatizo gani ridhwan kwenda kusikiliza bunge! ??? kama angekuwa amejiachia kwenye seat za waheshimiwa ndio ungekuwa na haki ya kuhoji ....

2) Data gani unazo zihitaji...?! na weye ndiye uliyemuona ?
bahasha bahasha bahasha ....na ukizingatia ameenda huko siku ya kupitishwa bajeti ya wizara nyeti inayomgusa....nishati.
Kwa nini asiende siku ya kupitishwa bajeti ya wizara ya utamaduni na michezo?

kuna tetesi kuwa dili la kuleta mitambo ya kuzalisha umeme wa mgwt 100 kuna mkono wake, ndiyo maana kaja bungeni kuhakikisha kama bajeti ya nishati itapita

Kaitwa akaelze jinsi alivyokabidhiwa shirika la uda bila wah kadhaa kupata mgao wao
unahisi jk ajui hili!!nchi italiwa nawenye nchi

Dogo ameenda Bungeni kufanya lobbing na kukutana na wajumbe wa kamati ndogo ya Bunge iliyoundwa kuchunguza Sakakata la UDA.

Kabla hajafika dodoma jambo la kwanza amefanya Mawasilianoo na Mh Zitto Kabwe,Pia alimpigia Sim Mbunge wa Viti mAalum aliepo ktk Kamati Ester Bulaya ambae hakupokea wala Kujibu Ujumbe Mfupi alomtumia baada ya Dada huyu kushangaa kulikoni hii simu kwani hawajawasiliana kwa Zaidi ya Mwaka leo anataka wawasiliane baada ya kuona Jina la Bulaya ktk Kamati hiyo.

Wana Jf msishangae sana uwepo wake na yeye kukimbia Kamera,kwani kabla ya safari ya Dodoma siku ya Tar 8/8/2011 alikutana na Robert Simon Kisena pale Hoteli ya PROTEA karib na St Peter walikaa masaa mawili kujadili na kikao chao kuhamia sea cliff wakipanga mpango kazi wa namna ya kulitatua jambo hili.

Kwahiyo dogo yupo kazini kuokoa Mradi.

bahasha bahasha bahasha ....na ukizingatia ameenda huko siku ya kupitishwa bajeti ya wizara nyeti inayomgusa....nishati.
Kwa nini asiende siku ya kupitishwa bajeti ya wizara ya utamaduni na michezo?

dhana ni mbaya sana.....,

Riz1 jamani nae Mtanzania!
Kwanini kwenda kwake Bungeni kuwe na Maswali mengi!
Sasa tutaanza kufikiri kwa kile alichosema Dr.Masaburi,kwani kama issue ni kusikiliza mbona hata kwenye TV angeweza!

issue siyo kwenda bungeni bali ni yeye kukimbia kamera.

deal la luku yeye na patna wake simon nasikia wanauza luku kwa tanesco, kaenda kuhakikisha bajet inapita

Huyo fisadi anakera sana,sitaki hata kuisikia kabisa.

Huyu prince nasikia ni moja ya watu wano hujumu reli ya kati ili magari yao yapate tenda ya kupeleka mafuta kongo, burundi na kigari.

Wanaamini reli yakati ikitengemaa mafuta yatakuwa yanapelekwa kwa njia ya tren, so wanajitahidi sana kuhujumu wakisaidiwa na king mwenyewe

nasikia magari yote ya delbit ni yao...........
Li semwalo lipo kama halipo laja!! Maana Wadanganyika wengi twa furahiaa tu Wanyonyaji weusi na watoto wao wakiendelea kunemeka kwa kutumia shida za watanganyika

Acha chuki hizo wewe, wanasheria wana mkutano wao Dodoma (akiwem Ridhwani) na baadhi wameamua kwenda kuona bunge lifanyavyo kazi, hilo nalo kosa?

Kwenye tv huwa hawaoni bunge linavyofanya kazi?

Kumbe mpo wengi mliotumwa kutetea watuhumiwa mpaka ratiba zao wanawapa kweli kushinda ufisadi tanzania ni kazi kwelikweli

Natamani nikutukane ila nagundua tatizo lako ni brain drain ndo mana upo humu ili kupigwa msasa kichwa chako

Kuuliza si ujinga, mtoa mada ana maana na hivi mnaweza kujua alichofuata.

Hiyo ni aibu, katumwa na Fisadi papa sio bure ati.

kuuliza si ujinga,mtoa mada ana maana na hivi karibuni mnaweza kujua alichofuata.

Jamaa atakuwa tajiri sana,tenda ya kusambaza mafuta mazito ni yakwake ndo mana serikali inaipotezea mchuchuma na liganga ili dogo ashibe.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…