Rumishaeli
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 227
- 73
nasikia magari yote ya delbit ni yao...........
Mkimbia kamela si msafi kuna anachoficha!
Pamoja na kwamba si vibaya mtu yeyote kwenda bungeni ila kwa huyu mtoto wa JK kuwa kule kunatia mashaka!
Hata hataki kamera imuone, au ndio kwenda kukamilisha madili kwenye bajeti ya dharura maana ana dili la kusambaza mafuta bandarini, na sasa anataka dili kwenye umeme?
Naomba data zenu wana JF!
<br />achane mawazo potofu alikuwa kwenye kikao cha wanasheria wa tanganyika ndani ya udom