Ridhiwani awaburuza mahakamani Dk Slaa na Mchungaji Mtikila

We said thanks god for this, kwasababu wahaini wataifa hili wameingia kwenye mtego tuliyokuwa tunautaka, najua ridhiwani au mpambe yeyote yule wababa yako mnaingia humu jf chukua maneno hayo:

1. Kama mlidhani kuna mtu au watu wanaogopa kifo au jela kwa ukweli sahauni kabisaa.

2. Kama mlikuwa mnadhani mko juu ya nguvu ya umma kwasababu ya madaraka sahauni kwasababu watanzania tumechoka na maisha ya kubangaiza hivyo tupo tayari kwalolote na kumlinda rais aliyechaguliwa na umma kwa nguvu ya umma (Slaa)

3. Kama mnadhani mnahati miliki ya taifa hili hebu jaribuni tu hata kwa sekunde moja kumkamata slaa ndipo mtajua umma unataka nini

4. By the way mnakesi ya uhaini ya kujibu 2015 ya kuhujumu uchumi wataifa hili. Muwe mmekimbia nchi au kwalolote lile litakalotokea kabla ya hapo lazima mjibu.

5. Watanzania miili inaganzi sasa hatutaki maneno yenu tena na tena tunaishi kwa kudra za mungu so your nothing in this country right.
 
Anamiliki kipande cha ardhi bagamoyo ambacho amekikodisha kwa watu wa tigo kwa $1,000.00 kwa mwezi,
the same charge to what tigo is paying for plot/land at masaki/namanga/mikocheni n.k.
 
anajenga hotel ya kimataifa pale kibaha mailimoja,...ana petrol station ambayo ni imegharimu fedha nyingi za walipa kodi kuliko petrol station yoyote dsm..
 
Nadhani riz1 anataka ajue ni jinsi gani majasusi wa kutoka vyama vya upinzani wanafanya kazi. na asipokua makini, atamuangusha hadi baba yake. Ngoja nione nani atakuwa director wa hii movie.
 
umeelewa kilicho andikwa?kama hujaelewa copy,...ops (kopi) halafu nenda ka google kitu hiki "google translate",chagua,penye from kiliki (bonyeza) English.....halafu penye to weka "swahili",...
Psychiatirist..Ahahahaha
 
Hii safi sana, atleast mmoja sasa kaamua kwenda mahakamani, manake nilikuwa nimechoka kelele kila siku wenye ushahidi wanawaambia watuhumiwa waende mahakamani kama wanasema uongo na watuhumiwa wakawa wanajibu kama wana ushahidi waende mahakamani. Mchezo wa paka na panya kwenye kesi kubwa Tanzania umezidi na sasa mda umefika kama watu wana ushahidi wamepewa nafasi sasa kwenda kuonesha ushahidi wao.

Na wakina Slaa wajiandae kweli kweli manake kesi ya nyani hii inaenda kuhukumiwa na tumbili.

Kila la kheri kwa upande wenye nia njema na Taifa letu.
 
Bora angekaa kimya tuu yangeisha sasa naona ametikisa mzinga wa nyuki iyo sheria aliyosoma kwa kubebwa itamtokea puani!
Yetu macho na masikio tujue hasa anamiliki nini na nini?
 
Mali za Riz1 zipo katika kampuni ya mafuta KOBIL na nyingine anamiliki malori ya mafuta kwa kupitia mpambe wake Davids Mosha hilo halina ubishi!!!
sio hivyo tu ndugu yangu inasemekana pia hata yale magorofa yanayojengwa morogoro msamvu riz1 ana hisa! wafuatiliaji wa mambo wananena kuwa huwa anakwenda mara kwa mara ku-visit!
 
We said thanks god for this, kwasababu wahaini wataifa hili wameingia kwenye mtego tuliyokuwa tunautaka, najua ridhiwani au mpambe yeyote yule wababa yako mnaingia humu jf chukua maneno hayo:

1. Kama mlidhani kuna mtu au watu wanaogopa kifo au jela kwa ukweli sahauni kabisaa.

2. Kama mlikuwa mnadhani mko juu ya nguvu ya umma kwasababu ya madaraka sahauni kwasababu watanzania tumechoka na maisha ya kubangaiza hivyo tupo tayari kwalolote na kumlinda rais aliyechaguliwa na umma kwa nguvu ya umma (Slaa)

3. Kama mnadhani mnahati miliki ya taifa hili hebu jaribuni tu hata kwa sekunde moja kumkamata slaa ndipo mtajua umma unataka nini

4. By the way mnakesi ya uhaini ya kujibu 2015 ya kuhujumu uchumi wataifa hili. Muwe mmekimbia nchi au kwalolote lile litakalotokea kabla ya hapo lazima mjibu.

5. Watanzania miili inaganzi sasa hatutaki maneno yenu tena na tena tunaishi kwa kudra za mungu so your nothing in this country right.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote mkuu Kilewo, tumemnasa ndege kiulaini maana hata baba yake sasa atahusishwa na hii kesi kuja kutoa ushahidi juu ya mwanae then hapo ndipo watajua nguvu ya umma imekaaje
 
sio hivyo tu ndugu yangu inasemekana pia hata yale magorofa yanayojengwa morogoro msamvu riz1 ana hisa! wafuatiliaji wa mambo wananena kuwa huwa anakwenda mara kwa mara ku-visit!

Bora mods mtuwekee na jukwaa linaloitwa Kijiweni. Maana pumba zingine ni za huko vijiweni.
 
Its very dangerous kuwa kama kuna ushauri mmbaya aliopewa ni huu wa kwenda mahakamani ukweli WANAMALIZA YEYE,NA HATIMAE MADHALA YA KE YANAENDA KWA MZAZI WAKE.Kama ni mwelewa kwa faida yake mchezo huo ni hatari kwao yeye na familia yake.
 
Back
Top Bottom