Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
Naona mtoto rais wa masharobaro ameamua atoke vp kwenye tope alilo jinasisha mwenyewe,time wil tel.Mambo yanaweza yakawa magumu kwa huyu jamaa sharobaro anayeishi kimjinmjini.Maanake ameshindwa afanyaje,akitaka akae kimya watu wathibitisha bila ya wasiwasi kwamba ni kweli ameshakuwa bilionea fasta. Kuwashtaki hawa jamaa ndo uamuzi mgumu si anamjua daktari alishatamka wazi wazi kuwa dk rais ni fisadi. Na dk rais hajawahi hata siku moja kukanusha kwa hyo ameshakubali kuwa ni fisadi. Kwa mchungaji ndo BALAA ameshaishitaki jamhuri kuhusu suala la mgombea binafsi na akaibuka kidedea.
Jambo jingine la kuonyesha huyo jamaa ni young bilionea angalia anachodai alipe 2 bilions,angeomba ushauri kwa manji ambaye anataka mengi amlipe sh 1
Hapo hata mimi kanistua kumbe he is worth 2Bil in Damage. Maana huwezi kudai kitu ambacho huna thamani nacho, Juzijuzi Mbatia na kesi yake na NBC wamemchallange kuhusu kiwango anachodai fidia cha 5 bil ni kikubwa na anathamani nacho.
check hapa Home na hapa Daily News | Witness fails to explain Mbatia's claims