Ridhiwani apotezwa Chalinze

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
shuhudia namna mtoto wa mfalme, fisadi, mtoto wa dhaifu, msambazaji wa madawa ya kulevya...
 
Last edited by a moderator:
Sisi tunamjua Ridhiwani mtoto wa rais wetu mpendwa Kikwete huyo mtoto wa mfalme hatumjui hivyo hatuhusu!!!
 
AMANI itawale uchaguzi wa chalinze
tufanye kampeni za kistarabu na tulinde amani maana amani aina mbadala
 
huyu mwalimu kweli anafundisha
juzi rais shein amezindua miradi 5 ya barabara za uwakika pemba kiwango cha lami na miradi mingi ya maji kweli ukiikataa ccm na maendeleo mnapata heko wapemba kwa kuonyesha njia ndugu zetu wa tanganyika au tanzania bara
 
Nasi wa mbali tunasema na apotezwe tuu,kwani nn bana!
Mbona wa col.Gadafi wapo jela?
 
chukua like betlehem hiyo ndio fasihi andishi
yaani umemaliza kabisa
 
mwana wa dhaifu anayetaka uendeleza udhaifu wa babaake Chalinze!
 
Mkuu betlehem,kakuandikia nani hivi? Naona leo unacopy na kupaste tu hadi unabore sasa.Acha ulimbukeni.Andika vitu tofauti kulingana na hoja iliyopo
 
Huyo mtt wa mfalme kikwete hafai hata kuongoza vichaa, maana kaanza ufisadi toka utoto. Halafu hii nchi ya kifalme
 

Hizo jumla kilometre ngapi?
Unaweza kusema barabara tano kumbe jumla yake haifiki nusu ya Dar mpaka Moro
 
si ungeanzisha uzi wako....out of topic
tjis is copy n paste
 
Huyu mwuza madawa ya kulevya akishinda Chalinze kwakweli nitawashangaa wapiga kura. Dogo mabilioni yote anayoyakusanya kwenye unga hata barabara moja hajaweza kuijenga, anawaona wanaChalinze kitega uchumi ..... upumbavu mwanzo mwisho
 
Chadema wanahangaika tu wiki ijayo watakuja na lawama kuwa taftari alijaboreshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…