Risk manager JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 8,803 Reaction score 17,418 Aug 27, 2023 #41 The Burning Spear said: Mhiii huyu huyu aliyefukuza watu pale nchicha na kuweka bandari yake kavu immediately baada ya Magufuli kufariki Click to expand... Pale kigamboni alipora ardhi ya mzee mmoja hivi kisa tu baba yake Ni raisi. Wakati mzee wa watu analimiliki kiuhalali eneo. Sijui alijengapo kituo chake Cha mafuta.
The Burning Spear said: Mhiii huyu huyu aliyefukuza watu pale nchicha na kuweka bandari yake kavu immediately baada ya Magufuli kufariki Click to expand... Pale kigamboni alipora ardhi ya mzee mmoja hivi kisa tu baba yake Ni raisi. Wakati mzee wa watu analimiliki kiuhalali eneo. Sijui alijengapo kituo chake Cha mafuta.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,037 Reaction score 137,205 Aug 27, 2023 #42 Duh Ova
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,802 Aug 27, 2023 #43 Muuza Kangala said: Ahaa. Yesu aliwauliza mafarisayo asiye na dhambi ndio ampige jiwe yule mwanamke. Je unafahamu maana yake? Click to expand... Sifahamu kwa sababu hiyo hiyo biblia inashutumu kuwa Yesu kafanywa laana. astaghafuruLlah.
Muuza Kangala said: Ahaa. Yesu aliwauliza mafarisayo asiye na dhambi ndio ampige jiwe yule mwanamke. Je unafahamu maana yake? Click to expand... Sifahamu kwa sababu hiyo hiyo biblia inashutumu kuwa Yesu kafanywa laana. astaghafuruLlah.
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 11,141 Reaction score 14,663 Aug 27, 2023 #44 Hapana hii nauhakika wanamsingizia
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,506 Reaction score 108,662 Aug 27, 2023 #45 Huyu huyu mwiziwani(mwizi one/mwizi1)!???
M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,173 Reaction score 6,832 Aug 27, 2023 Thread starter #46 FaizaFoxy said: Sifahamu kwa sababu hiyo hiyo biblia inashutumu kuwa Yesu kafanywa laana. astaghafuruLlah. Click to expand... Acha kujitoa fahamu
FaizaFoxy said: Sifahamu kwa sababu hiyo hiyo biblia inashutumu kuwa Yesu kafanywa laana. astaghafuruLlah. Click to expand... Acha kujitoa fahamu
M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,173 Reaction score 6,832 Aug 27, 2023 Thread starter #47 FaizaFoxy said: Sifahamu kwa sababu hiyo hiyo biblia inashutumu kuwa Yesu kafanywa laana. astaghafuruLlah. Click to expand... Unaona ajabu Yesu Kristo kukubali laana ili akuokoe wewe na ulimwengu mzima?
FaizaFoxy said: Sifahamu kwa sababu hiyo hiyo biblia inashutumu kuwa Yesu kafanywa laana. astaghafuruLlah. Click to expand... Unaona ajabu Yesu Kristo kukubali laana ili akuokoe wewe na ulimwengu mzima?
M Mlamba asali JF-Expert Member Joined Dec 11, 2022 Posts 1,152 Reaction score 2,292 Aug 30, 2023 #48 Kwa umri wangu nilifikiri nimeona kila kitu . Haya nayo ni maajabu mengine
kidongemlonga Member Joined Oct 30, 2017 Posts 81 Reaction score 101 Aug 30, 2023 #49 Mlamba asali said: Kwa umri wangu nilifikiri nimeona kila kitu . Haya nayo ni maajabu mengine Click to expand... Nimecheka sana [emoji2]
Mlamba asali said: Kwa umri wangu nilifikiri nimeona kila kitu . Haya nayo ni maajabu mengine Click to expand... Nimecheka sana [emoji2]