pipikijiti
JF-Expert Member
- Apr 25, 2017
- 309
- 407
Futufutu stylejamaa hana mpango na six packs
one pack inamtosha six za nini? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jamaa hana mpango na six packs
jamaa hana mpango na six packs
ndo maana mugabe anawashauri vijana waache kwanda gym waende kupiga kazna ana mademu wakali tu
picha ipi mkuuhuyo sio rick ross jamaa anaitwa big sheriff hizo picha si yeye
hiyo picha si ya rick ross ni big sherif huyo mie nilikuwepo kwenye hiyo showpicha ipi mkuu
ooh aya mkuu ngoja tuwqsubiri wajuzi wengnehiyo picha si ya rick ross ni big sherif huyo mie nilikuwepo kwenye hiyo show
sasa hiv ndo yupo hivo[emoji115]
[emoji13]one pack inamtosha six za nini? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ha ha haukiwa na mapesa six packs ni kwa ajili ya walinzi tu na wabeba box.