pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,352
Yaani hata wewe unaeza tumia maneno makali hivi? Imeuma sana. Sawa tu!Mnakumbuka obama alipokuja Tz first when you expected angekuja kenya sababu mmelazimisha undugu, mkanuna mwezi mzima?that was lovely.
The point is, rick ross angeanza kenya mlivyo na midomo na mashauzi tusingepumua.![]()






