Mkuu Isango, naomba habari zaidi juu ya huo mradi. Eneo ambako mradi huo utakuwa, pale Siuyu-Misimbwa ni eneo la babu yangu mzaa mama. Nilipokuwa Singida nikasikia wanapigwa dana dana kwenye fidia. Nataka kupata details ili nione nitawasaidiaje kisheria. Hilo eneo liko jimbo la Nyalandu, Dewji au Tundu Lissu? Tafadhali nijuze.

Jamaa yangu kanipigia simu jana akiwa Singida, alimwona Lowassa anaingia mjini humo, baadaye akaingia Chenge, alishangaa kuona wanafuatana. isijekuwa ndio dili lao?Uwekezaji wa Umeme wa Upepo mnaousikia, umegubikwa na utata mtupu.

Kampuni zinaingia kinyemela, watu wanatoka moja kwa moja nje ya nchi na kufika kijijini kulaghai wananchi, viongozi wa serikali wanapewa kitu kidogo wanatulia, imefikia hadi wiki iliyopita amekuja kutembelea hadi balozi wa Uingereza kushiriki Ufisadi huu.

Wanaharakati fuatilieni sakata hili nchi yetu inauzwa tena kwa watu wasiofuata sheria, wanaojali kitu kidogo, miradi hiyo huenda isikamilike kama ilivyokuwa Richmond, au kutakuwa na mgogoro mkubwa kwani wananchi hawajui kama maeneo yao yameuzwa.

Vinara wa dili hili ni Mkurugenzi wa Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida
I am tired with those two pipo. sitaki hata kuwasikia, mafisadi hawa. Agghhhh!!!!!

Jamaa yangu kanipigia simu jana akiwa Singida, alimwona Lowassa anaingia mjini humo, baadaye akaingia Chenge, alishangaa kuona wanafuatana. isijekuwa ndio dili lao?

Uwekezaji wa Umeme wa Upepo mnaousikia, umegubikwa na utata mtupu.
Kampuni zinaingia kinyemela, watu wanatoka moja kwa moja nje ya nchi na kufika kijijini kulaghai wananchi, viongozi wa serikali wanapewa kitu kidogo wanatulia, imefikia hadi wiki iliyopita amekuja kutembelea hadi balozi wa Uingereza kushiriki Ufisadi huu.
Wanaharakati fuatilieni sakata hili nchi yetu inauzwa tena kwa watu wasiofuata sheria, wanaojali kitu kidogo, miradi hiyo huenda isikamilike kama ilivyokuwa Richmond, au kutakuwa na mgogoro mkubwa kwani wananchi hawajui kama maeneo yao yameuzwa.
Vinara wa dili hili ni Mkurugenzi wa Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida
Uwekezaji wa Umeme wa Upepo mnaousikia, umegubikwa na utata mtupu.
Kampuni zinaingia kinyemela, watu wanatoka moja kwa moja nje ya nchi na kufika kijijini kulaghai wananchi, viongozi wa serikali wanapewa kitu kidogo wanatulia, imefikia hadi wiki iliyopita amekuja kutembelea hadi balozi wa Uingereza kushiriki Ufisadi huu.
Wanaharakati fuatilieni sakata hili nchi yetu inauzwa tena kwa watu wasiofuata sheria, wanaojali kitu kidogo, miradi hiyo huenda isikamilike kama ilivyokuwa Richmond, au kutakuwa na mgogoro mkubwa kwani wananchi hawajui kama maeneo yao yameuzwa.
Vinara wa dili hili ni Mkurugenzi wa Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida
Anyway ,tafadhali msimuone Isango katumwa .Mimi nalifahamu eneo la mradi.Linacover eneo la DEWJ NA LISSU. Ulivyotaja Tzpride ni eneo la Lissu . Ni kweli wananchi wananchi wanasainishwa vitu wasivyojua na wanapewa fidia kimafungu ,yaani wenye kuletaleta mdomo wanapewa fidia sio vingine.
Mnyampaa Tzpride kwa taarifa yako hili jimbo lipo kwa Dewji. kwa Tundu Lissu hawawezi kufika kwani wanamjua jinsi alivyo mwanaharakati.