Richard Mgamba, Mwandishi wa Habari ambaye nahisi bado hajatumika kiasi cha kutosha

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,533
Namsikiliza hapa Mawingu 360 jamaa ana nondo sana. Ana data na anazungumza facts kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu madini. Ushauri wangu Rais ajae afikirie kumtumia huyu jamaa kuisaidia nchi yetu kwenye sekta ya Habari; ikiwezekana kwenye zile nafasi Kumi za Ubunge huyu jamaa ateuliwe apigwe Wizara ya Habari akasaidie maboresho ya sekta ya Habari nchini Tanzania ikiwemo kuunda Bodi ya kuwathibitisha waandishi wa habari na masuala mengine ikiwemo kuboresha mtaala wa uandishi wa habari kwenye vyuo vyetu kwa kuwa mitaala hiyo iko out of date bado inazungumzia old school journalism.

Hongera kwa hili jembe. Huyu jamaa ni miongoni mwa waandishi wachache wa Afrika waliobahatika kupata tuzo za juu za Habari.

Mgamba is an an award winning journalist na investigative journalist na editor mwenye uzoefu mkubwa.

Richard Mgamba, Tanzania​


Winner: Print General News Award

Bio: Currently Business and News Editor of the Sunday Citizen, Richard has been at the newspaper group since 2004 in a variety of roles including Senior Staff Writer and Bureau Chief. After graduating from Moi University with a BA Education degree (1993-1996), he became a teacher before completing a Postgraduate Diploma in Financial Journalism (WITS University, Johannesburg 2006). He started as a journalist with the Habarai Corporation as a Staff Writer in 2000 and was a Special Correspondent for The East African, becoming International Correspondent for African Business magazine and Radio Deutsche Welle. CNN.com - CNN African Journalist of the Year Competition
 
Kwahiyo watu wote nchi hii hawawez kuisaidia bila kuteuliwa? Unajua kuwa huo mchango anaoutoa unaweza kuwa mkubwa kuliko akiwa ndani ya mfumo wenyewe,tuamuni nchi inajengwa na kila mti ktk nafasi yake akitekeleza wajibu wake si lazima sote tuteuliwe,
 
Nilipata nafasi ya kumtazama, binafsi naona aliegemea zaidi kwenye "worship" plus conspiracy theories bila facts (eg DRC)
 
Back
Top Bottom