Rich Mavoko anakwama wapi?

Mavoco alianza kupotea kabla hajajiunga wasafi,alipoingia wasafi akarudi kwenye game na mziki wa tofauti kabisa aliokuwa anafanya mwanzo akaanza kufanya mziki wa kutegemea beat kali na kuimba imba bila kuandika mashairi makali wcb wakawa wana promote kwa nguvu nyingi then ngoma inakuwa hit.
Alicho kosea ni kutoka wcb na kwenda kujitegemea akiongozwa na genge la wahuni la kina dokii,masikini mavoko billionaire kid ikasajiliwa chini ya dokii aliye poteza ramani kitambo akawa chawa sasa ndio wamfanyie promo mavoko wamtafutie shows za ndani na nje wamlipie videos kali wamtafutie collaboration za kimataifa,waganga njaa wa mjini.
 
Anguko lake lilianza mara baada ya kuvimba kichwa na kutoka WCB

Utamkimbiaje mama wakati hata kunyonya hujamaliza? Walokole wanasema kuna liroho lichafu la utengano lilimuingia
 
Kosa la kwanza lilikuwa kubwa zaidi.
Sure..Mavoko wa zamani ni tofauti na yule wa WCB..Alikuwa na utunzi na uimbaji mzuri..Kaingia WCB akabadilika..Akaanza kuimba madudu lakini ngoma zikawa hit..Akaona hii ndo style..

Akasahau kuwa ukiwa WCB unaweza hata kuimba mabata madogo madogo yanaogelea na ngoma ikapromotiwa ikawa hit..Now yuko nje ya WCB hana management ya kueleweka halafu still anaimba nyimbo za mabata madogo..
 
mabata madogo
 
Nilimpenda mavoko wa kabla ya wcb, wimbo wake wa pacha wangu bado ni my favourite. Sijui alikosea wapi hadi akaamua kujiunga huko.
 
Teh teh...Hope kuna kamtu kalikuwa kanakulainisha na huo wimbo.
 
Sure..Mavoko wa zamani ni tofauti na yule wa WCB..Alikuwa na utunzi na uimbaji mzuri..Kaingia WCB akabadilika..Akaanza kuimba madudu lakini ngoma zikawa hit..Akaona hii ndo style..

Akasahau kuwa ukiwa WCB unaweza hata kuimba mabata madogo madogo yanaogelea na ngoma ikapromotiwa ikawa hit..Now yuko nje ya WCB hana management ya kueleweka halafu still anaimba nyimbo za mabata madogo..
Hili ndilo linamkwamisha. Bado anaimba ki-WCB. Ukisikiliza melody zake za sasa zimeegemea huko na sio mavoko kile kichwa cha kutunga na kutoa best melodies. Bado jamaa ni mkali ila kipaji tu hakitoshi ni lazma ajiongeze
 
Uko sahihi mkuu..
 
kubomoa ni rahisi kuliko kujenga, katumia dk chache kijitoa WCB ila atatumia miaka mingi kujirudisha ktk ubora aliokuwa nao awali.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom