TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Hivi haya mambo yalipangwa au yalitokea tu kwa bahati?
Richard ni mtoto wa Mtu anayetuhumiwa kuhusika na Kampuni ya Kitapeli ya RICHMOND na nyumbani kwa mtu huyo ni MONDULI.
Siku zote natafakari hili sipati jibu.
Nakumbuka taarifa nyingi zilizotokana na kamati mbalimbali zilizoundwa kufuatilia sakaga hiki na zilizoandikwa kuhusu Richmond na hasa makala za gazeti la mwanahalisi zilibaini RICHMOND HAIKUWEPO(ilikuwa kampuni hewa). Ni wapi jina hili lilitoka?
Bado najiuliza na nitaendelea kujiuliza.