Kwanza huna dhamana halafu unataka kukopa, unafikiri benk hizo pesa wanaokota chini ya mwembe.
Ni taasisi gani hiyo ya fedha ikupe tu million 20 huku hujawahi kukopa wala huna dhamana wala ujataja biashara yako ya aina gani kuwa makini kidogo au unataka kujua riba ya million 20 finca
Nenda finca sasa upate jibu kamiliSasa unataka niseme hapa business plan yangu. Mie shida yangu nikujua riba na nilifikila FINCA kwa sabab unadela na watu wadogo kwa short term loans. Ambaye anauzoefu aniambie. Issue ya dhamana inajulikana hata kwa rafiki huwezi kuowea pesa bila makubaliano.
AsanteNenda finca sasa upate jibu kamili
hakuna mkopo wa miezi mitatu mkuu...mkopo unaanzia mwaka mmoja na kuendelea,...hiyo mikopo ya miezi sita ni kwa vikundi tena unaanzia kukopa laki 3....anyway riba yao ni 5% per monthNinataka mkopo wa haraka wa million 20 kwa kipindi cha mwezi mmoja mpaka 3.Ninataka kukopa FINCA ila sina Dhamana. Je riba kwa mwezi mmoja,miwili au mitatu kwa pesa hiyo itakuwa sh ngapi? Naomba anayejua aniambie. Naomba sana ushauri wenu.
Asante
hakuna mkopo wa miezi mitatu mkuu...mkopo unaanzia mwaka mmoja na kuendelea,...hiyo mikopo ya miezi sita ni kwa vikundi tena unaanzia kukopa laki 3....anyway riba yao ni 5% per month
Sawa asante
ASANTENIAsante.kwa hiyo kwa mwaka riba ni 60%..kweli umasikini hautaisha.